korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,054
- 1,269
We Jamaa kama unapiga vizuri hizi pushup, utakuwa na kifua na mkono wa hatari. Mimi chuoni walikuwa wananiita kifua chuma. Pushup ilinikolea balaa.
Push-up zanini hacha kujichosha, mazoezi ya Free Weight (wanaita kunyanyua Chuma) yanaleta matokeo mazuri na haraka kuliko Push-up na mazoezi mengine ya Body Weight.Msaada wenu wadau...Nishapiga sana pushups zaidi ya miaka miwili sasa lakini mabadiliko hamna,Mwili umegoma kabisa kujengeka siyo mikono wala kifua(chest), Nimejaribu kudownload video za YouTube za mazoezi lakini hamna matokeo bado Nina uwembamba uleule ni kitu inanitesa sana...Nataka mwili uongezeke kidogo ili hata nguo zinikae vizuri NiFanye nini?
Round ngapi??Push ups 300+ kila sikuView attachment 1695467
Nakupinga mkuu...push up znafanya mtu uwe na structure nzur ya mwili, especially kwa juuPush-up zanini hacha kujichosha, mazoezi ya Free Weight (wanaita kunyanyua Chuma) yanaleta matokeo mazuri na haraka kuliko Push-up na mazoezi mengine ya Body Weight.
Body Weight ni kwaajiri ya Body Strength ila kujaza muscles Free Weight ndio zoezi tatizo Tz kujazana sana ujinga ukisikia 'kunyanyua chuma' it sound kama dhambi hivi na kama unabeba mavitu mazito chuma chepesi tu kinajaza mkono na kifua.
Hakuna mwili uliowai kujizika vizuri kwa Pushup
Hapo mwisho napingana na wewe! Mfano ni mimi mwenyewe hapa! Nazikubali na zinanipa muonekano poa sana( kwa mujibu wa maoni ya wajumbe)Push-up zanini hacha kujichosha, mazoezi ya Free Weight (wanaita kunyanyua Chuma) yanaleta matokeo mazuri na haraka kuliko Push-up na mazoezi mengine ya Body Weight.
Body Weight ni kwaajiri ya Body Strength ila kujaza muscles Free Weight ndio zoezi tatizo Tz kujazana sana ujinga ukisikia 'kunyanyua chuma' it sound kama dhambi hivi na kama unabeba mavitu mazito chuma chepesi tu kinajaza mkono na kifua.
Hakuna mwili uliowai kujizika vizuri kwa Pushup
Nakupinga mkuu...push up znafanya mtu uwe na structure nzur ya mwili, especially kwa juu
Hapo mwisho napingana na wewe! Mfano ni mimi mwenyewe hapa! Nazikubali na zinanipa muonekano poa sana( kwa mujibu wa maoni ya wajumbe)
Push-up zanini hacha kujichosha, mazoezi ya Free Weight (wanaita kunyanyua Chuma) yanaleta matokeo mazuri na haraka kuliko Push-up na mazoezi mengine ya Body Weight.
Body Weight ni kwaajiri ya Body Strength ila kujaza muscles Free Weight ndio zoezi tatizo Tz kujazana sana ujinga ukisikia 'kunyanyua chuma' it sound kama dhambi hivi na kama unabeba mavitu mazito chuma chepesi tu kinajaza mkono na kifua.
Hakuna mwili uliowai kujizika vizuri kwa Pushup
Kwa upande mwngne uko sahihi!!Free weight Vs Body Weight aina gani ya mazoezi inafanya vizuri katika maeneo haya
1)V-shaped body
2)kujaa muscles (Bi/Tri/Chest)
3)Kupasua mwili vizuri
4)Kuleta matokeo haraka
Kama mtu wa mazoezi Free weight ni Best, kwa mtu ambaye Newbie nashauri aanze Free Weight kwaajiri ya kupata matokeo hayo manne juu the afanye Body Weight kwaajiri ya Body Strength.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] We jamaa ni mnafiki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwahiyo push ups tano ni ndogo kweli si bora kuliko kutopiga kabisa inakata na tumbo kidogoLabda Mungu aingilie kati
Nenda uzi wa selfie kuleMtume na picha sasa tuone@[emoji16]
Kunyanya mavyuma umeshaona manyama yanavyokua ukianza kuzeeka au tu ukaja kuacha kupiga chuma weeeeeee bora mazoezi ya kawaidaPush-up zanini hacha kujichosha, mazoezi ya Free Weight (wanaita kunyanyua Chuma) yanaleta matokeo mazuri na haraka kuliko Push-up na mazoezi mengine ya Body Weight.
Body Weight ni kwaajiri ya Body Strength ila kujaza muscles Free Weight ndio zoezi tatizo Tz kujazana sana ujinga ukisikia 'kunyanyua chuma' it sound kama dhambi hivi na kama unabeba mavitu mazito chuma chepesi tu kinajaza mkono na kifua.
Hakuna mwili uliowai kujizika vizuri kwa Pushup
Kabla hujamla mama yoyooo unagonga push ups nini faida yake sasa ng'ombe hanenepi siku ya mnadaIzo push-ups kabla ya Goal huwa napiga 100
5 push-up hell imagine how lazy is that Guy[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] We jamaa ni mnafiki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwahiyo push ups tano ni ndogo kweli si bora kuliko kutopiga kabisa inakata na tumbo kidogo
YanakuwajeKunyanya mavyuma umeshaona manyama yanavyokua ukianza kuzeeka au tu ukaja kuacha kupiga chuma weeeeeee bora mazoezi ya kawaida
Push ups zinakigawa kifua kati kati ila chuma hakifanyi hivyo, na kuvimbisha kifua pia, kukaza tumbo, kujenga biceps na triceps nkKwa upande mwngne uko sahihi!!
Push-ups zinaleta matokeo mazuri kwa mtu mzoefu/aliyewahi kwenda gym kanyanyua free weight kakata vizuri pengine anaweza akaacha kwa sababu fulani! Huyu mtu akiamua kupiga pushups ataweza kurudi kwenye form! Kwa beginner sio rahisi kupata matokeo ya kimuonekano mzuri japo anaweza akawa amekomaa
Jitahidi utafika mbali nilianzia nakumi na tano mpka sasahivi nafika zaid ya 90 bila ya kupumzika.Mwaka 2017 nilikua siwezi kupiga push ups ata 3 ila sasahiv napiga 45 bila kupumzika pia nazunguka uwanja mara 15 nonstop dah Mazoez mazuri jamani.🦾
Una experience yoyote ya mazoezi Mkuu ni vyema ujifunze kitu ndio uchangie mada, Chest Workout kwenye Free Weight kuna Mitindo ya kupiga 50+ kuna position za Banch 50+ kuna Weight tape 50+ kuna weight position 50+ then from no where unakuja kusema push-up inapasua kifua What hell a you write here.Push ups zinakigawa kifua kati kati ila chuma hakifanyi hivyo, na kuvimbisha kifua pia, kukaza tumbo, kujenga biceps na triceps nk