Wapenzi wa push-ups & squats

Wapenzi wa push-ups & squats

Mie kwa kweli push up buku mbili Sina uhakika wa kuzifikisha hadi nitakapo kwenda mbinguni
 
Push ups 2000
Kurusha ngumi 1000
Kukimbia 20 Kilometers per 1.5HRS
Squats zoezi Dogo mno ( Umri 40+)

Sometimes kukimbia na mzigo wa 10 KGs Mkononi/Mgongoni 24 Kilometers per 2HRS
Chakula kizuri & fruits hasa zenye maji maji eg Watermelon etc
Kunywa Maji masafi 6Litres per Day.
Tulia sikiliza music au watch a Movie

Utayari muda wote kwa lolote .
Hzo push ups 2000 unapiga na mkalimani sio??
 
Push up zinanivimbisha sana kifua naonekana nimejitunisha kumbe hapana.

Sipendi kifua kinavyotangulia sana mbele hivyo niliacha kupiga push up huu ni mwaka wa 4 sasa lakini body bado lipo sema limepungua kidogo sana

Kwa sasa naomba mnijuze mazoezi ya kusawazisha kifua. Sipendi kilivyotangulia sana mbele.

Inafika time mtaani wanakudescribe utaskia aah ni jamaa gani? Mwingine anajibu,.. ni yule wa kujitunisha (hii nimesikia wengi wakidai najifanya nakula chuma ndiyo maana najitunisha kumbe wala)

Sasa kama yapo mazoezi ya kusawazisha kifua nahitaji kuyajua. Yani kisitoke sana mbele. Kitawanyike pembeni.
 
Push up zinanivimbisha sana kifua naonekana nimejitunisha kumbe hapana. Sipendi kifua kinavyotangulia sana mbele hivyo niliacha kupiga push up huu ni mwaka wa 4 sasa lakini nikivua shati utasema huyu jamaa anakula chuma.

Kwa sasa namba mnijuze mazoezi ya kusawazisha kifua. Sipendi kilivyotangulia sana mbele.

Inafika time mtaani wanakudescribe utaskia aah ni jamaa gani? Mwingine anajibu,.. ni yule wa kujitunisha.

Kama yapo mazoezi ya kusawazisha kifua nahitaji kuyajua. Yani kisitoke sana mbele. Kitawanyike pembeni.
[emoji848][emoji848]
 
Push up kuna aina zake za kupiga, na kila upigaji wake ina maana yake na matokeo yake kwa mpigaji,na siyo lazima upige nyingi,unaweza kupiga chache kwa kila aina tofauti za push up ukashaangaa umepiga zaidi ya mia nne au 500 ndani ya dakika 20 mpaka 30.

Mimi nafanya gym ila nilikuwa mvivu sana wa push up.ila kwa sasa kwa siku nafuta push up 10000 kwa dk 50 mpaka 55.

Na wafanya mazoezi msisahau mazoezi ya tumbo.nayo ni muhimu sana ukitaka kuonekana mfanya mazoezi lazima ujenge tumbo.
 
Punguza uongo kidgo

kuna mijitu miongo dunia hii dah[emoji23][emoji23][emoji23] et push-ups 10000
 
Push up kuna aina zake za kupiga, na kila upigaji wake ina maana yake na matokeo yake kwa mpigaji,na siyo lazima upige nyingi,unaweza kupiga chache kwa kila aina tofauti za push up ukashaangaa umepiga zaidi ya mia nne au 500 ndani ya dakika 20 mpaka 30.

Mimi nafanya gym ila nilikuwa mvivu sana wa push up.ila kwa sasa kwa siku nafuta push up 10000 kwa dk 50 mpaka 55.

Na wafanya mazoezi msisahau mazoezi ya tumbo.nayo ni muhimu sana ukitaka kuonekana mfanya mazoezi lazima ujenge tumbo.
Lakini jamani mbona tunakatishana tamaa yani wewe unapiga push up 10000 kwa dakika 50 [emoji30] acha uongo
 
Katika mazoezi kuna Beginner, Intermediate na Advanced.

Hivyo ukipinga kile anachokieleza mtu elewa upo below level yake.

Wanaodai push ups hazikati kifua siyo kweli. 2011 mpaka 2014 nilikuwa naishi kwa staili ya mazoezi, kula, kusoma hiyo ndiyo ilikuwa lifestyle na nilikuwa napiga push ups tu, kwa siku nilikuwa nafanya mazoezi mara mbili kwa siku asubuhi kuanzia saa tisa hadi saa 12 asubuhi najiandaa naenda shule then saa tisa jioni hadi saa mbili usiku naingia tena mazoezi. Na yalikuwa mazoezi makali ikiwemo sets tofauti za push ups, kata za kung fu (eagle, drunken, snake, Bhaghuazang, Tai quan n.k), nilikuwa na mwili imara sana shape moja hatari, shule wengi tuliosoma nao na hata waalimu walikuwa wakinichukulia tofauti sana kutokana na muonekano.

Push ups kulikuwa hakuna kuhesabu ni unatumia muda, kama kupiga push ups lisaa na nusu au lisaa limoja upo unaenda chini na kurudi, kila set na dakika zake, hakuna kuhesabu.

Squats na mazoezi pia hivyo hivyo, kiufupi kuhesabu tuliona kama tunajipunja sana hivyo kila zoezi linafanyika kwa muda maalum.

Mtu kupiga push ups 10,000 ni jambo kawaida kabisa wala siwezi shangaa.

Maisha yalibadilika baada ya kuanzia kujitegemea sasa, hapo kabla ya kwenda mazoezi lazima ujiulize utakula nini ukitoka huko, ukiona hamna kitu unatulia au unapiga mazoezi ya kawaida tu kuepuka kutojisikia vibaya maana ukizoea mazoezi ukiacha siku moja tu lazima hali iwe mbaya.

Kwasasa bado tupo japo mazoezi siyo kama miaka hiyo kutokana na majukumu ila lazima tutarejea enzi zetu wacha tutafute pesa. Ule wepesi wa kuruka na kuama kwenye matawi ya miti lazima urejee.

Beginners, Intermediates, Advanced.

Kila mmoja ana level yake.
 
mjibie swali huyo jamaa, pushups 10000 unatumia muda gani kupiga kwa set ya ngap ngap?
 
Mhusika yupo anaweza kutoa ufafanuzi. Upangaji wa sets, aina na idadi za push ups kwa kila set inategemea mhusika.

Push ups 100, round 50, ni push ups 5000. Asubuhi na jioni unakamilisha 10,000.

Kumbuka siyo aina moja tu ya push ups unazopiga, kila aina ya push ups unajiewekea idadi na round zake.

Kiujumla mtu kupiga push ups 10,000 kwangu mimi naona ni jambo la kawaida kabisa.
 
Push ups 2000
Kurusha ngumi 1000
Kukimbia 20 Kilometers per 1.5HRS
Squats zoezi Dogo mno ( Umri 40+)

Sometimes kukimbia na mzigo wa 10 KGs Mkononi/Mgongoni 24 Kilometers per 2HRS
Chakula kizuri & fruits hasa zenye maji maji eg Watermelon etc
Kunywa Maji masafi 6Litres per Day.
Tulia sikiliza music au watch a Movie

Utayari muda wote kwa lolote .
Hizi push ups ni kwa wiki au kwa muda gani?
 
Mhusika yupo anaweza kutoa ufafanuzi. Upangaji wa sets, aina na idadi za push ups kwa kila set inategemea mhusika.

Push ups 100, round 50, ni push ups 5000. Asubuhi na jioni unakamilisha 10,000.

Kumbuka siyo aina moja tu ya push ups unazopiga, kila aina ya push ups unajiewekea idadi na round zake.

Kiujumla mtu kupiga push ups 10,000 kwangu mimi naona ni jambo la kawaida kabisa.
mzee unaweza kumaintain pushups 100, 100 kwa round 50?
 
Hili silo swali mkuu. Kiufupi hujakutana na watu wa mazoezi, 100 push ups, round 50 set tofautitofauti kwa kila round unaona nyingi sana ?? Una muda gani kuanzia umeanza kufanya mazoezi ?

Una uwezo wa kupiga push ups 100 kwa round moja tu non stop??

Beginner, intermediate, Advanced.
 
Akikujibu nisitue.
 
Back
Top Bottom