Wapenzi wa Redio: Tushirikishane mda na vipindi vizuri kwenye redio.

Wapenzi wa Redio: Tushirikishane mda na vipindi vizuri kwenye redio.

Ultimate

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
739
Reaction score
1,888
Hellow bosess,
huwa napenda kusikiliza redio mida ya kuanzia saa 5 asubuh had 12 ivi jion na saa 4 usiku mpaka 5 ivi
mda wa kipindi cha redio kizuri nachokijua ni BBC saa 12 radio one
mda wingine wote hua na changua station yoyote tu

Je?, mda na radio gani kuna kipindi kizuri??, ww unapenda kusikiliza kipindi gani cha redio na ni mda gani kinaanza??
 
Leo Tena, Clouds FM ukutane na vituko vya kina Gea.
 
Wapo Radio Saa Kumi Na Moja Na Nusu Alfajiri

Upendo Radio Saa Kumi Na Moja Morning Glory
 
morning magic akiwepo kibwana dachi sio cha kukosa mzee ,mchan xxl ,jion kiss drive time ,saa mbili george ambangile kwnye sports machine.. uyoo jmaa an madini mengi sn khsu football ,tatu sports bar..
 
Duh Radio nnasikiliza Nikiwa kwenye gari Clouds asubuhi na jioni capitaiiiin kwenye Jahazi sio frequently lakini. Kipindi ambacho nikikikosa nachanganyikiwa ni hizi nazo radio one basi. Hasa nikijua waliongelea au kupiga mziki wa DDC mlimani park! Ntasononeka.
 
Kwa wale wa mwanza na maeneo ya karibu usikose kusikiliza usiku mnene radio SAUT 96.1 fm saa 6 usiku mpaka majogoo
 
XXL saa 7mchana -10jioni clouds fm then The playlists Times fm 10jioni hadi 12jioni .
 
BBC
DW
RFA hasa kipindi cha magazeti, na jumapili kutana na Je, huu ni ustaarabu na mzee mzima Wambura Mtani.
RFA pia wana kipindi cha reggae kila jumamosi jioni. Interesting...............
 
Asubh morng magic, mchana Planet bongo, jioni Ubaoni, usku Sport xtra
 
Thecruz ya bonge moja la show napenda sana jamaa combination yake na dj mack na dea.
 
Huu uzi ukichangia unaweza wekwa kwenye umri usio wako hivi hivi[emoji3]
 
Thecruz ya bonge moja la show napenda sana jamaa combination yake na dj mack na dea.

Napenda sana anavyosoma sms za wasikilizaji huyu jamaa, utamsikia akisema

"Peter msengi wa mkalama kagera anasema mbishe zangu mi ni kusaka hela tu!, tupo pamoja adi izo biznes." utamsikia smash anajibu Haina noma Broo!, alafu ana mmind Dea au Mackay Eee!!

Jamaa talented sana huyu.
 
Back
Top Bottom