shatisuruali
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 921
- 2,842
Sidhani kama ni kitu kizuri kuiweka hapa, naona kama haki yake ya kupata hata kidogo kwa kazi yake itapotea. Unaweza ukaipata kwa kununua au kama mjanja ukaidownload mwenyewe. Ila mi siwezi kuiweka hapa.
Huyu dada ana sauti nzuri sana ila walimfanyia figisu sana matapeli.
Ngoja nikaicheck you tube kama upo.
Link hiyo