Wapenzi wa SAIDA KALOLI na Good music

Wapenzi wa SAIDA KALOLI na Good music

shatisuruali

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2016
Posts
921
Reaction score
2,842
Bibie ameachia nyimbo kali sana inaitwa KICHAKA akiwa na wakali wa bongo flava, G nako na Belle 9 isikilize HAPA.

SAIDA copy.jpg


Kwa hisani ya Dj Mwanga
 
Huyu dada ana sauti nzuri sana ila walimfanyia figisu sana matapeli.

Ngoja nikaicheck you tube kama upo.
 
Back
Top Bottom