Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Changu mwacheni aitwe changu, samaki yule mtamu bwana hasa apate ndimu
Ukitoka Pwani changu unamjua sawa sawaSiku izi unaweza kutaka changu ukaletewa kamongo wa maji jumvi
Ila mi mpaka leo sijaelewa wale samaki komongo wa maji chumvi wameanzaje kuitwa ivo ili hali kamongo tunayemjua sisi anapatikana maji baridi tena kuna mkavu a mbichi...wajaluo wanampenda sana na watu wa kanda ya ziwa
SAMAKI ni NYAMA yangu BORAA...Kila mtu aseme anachukua samaki gani hapo....mimi nachukua pweza..tena huyo mkuuubwa...
TUAMBIANE NI AINA GANI YA SAMAKI UNAYRPENDA KUMTUMIA KWA KITOWEO NA MBOGA..View attachment 1238068
Mbona wameadimika Sana siku hizi,nawatafutaga siwapatiKitu KIBUA
Samaki changu bwana, u muoke, umkaange, umpike mchuzi vyote ana fit. Sasa changu na wali wa nazi, kachumbari pembeni mmh.
Tuna ni kiingereza kiswahili ni jodariHao wawili wakubwa ni tuna
Hapana changu ni snapper Kiingereza, kingfish ni mackerelNdiye, king fish??!
Ni kweli wameadimika, sijajua kwaniniMbona wameadimika Sana siku hizi,nawatafutaga siwapati
Hakuna jodari ni nguru hao wasioonekana vizxuri pono hao warefu msusa au chuchungeHao wakubwa hapo wawili ndio Jodari.
Ila kuna hao wengine hapo wakubwa hawaonekani vizuri ndio nawakubali sana.
Hey..Ni kweli wameadimika, sijajua kwanini
Hapana changu ni snapper Kiingereza, kingfish ni mackerel
Pweza sio samakiNapita na huyo mkubwa mmoja sijui anaitwaje.
Pweza siwezi kumchukua sababu sijawahi kumla.
Kweli aisee hata mimi siku nimeenda buchani kununua nawakuta wadogo kitu ambacho kilinishangaza. Siku nyingine huwapati.Mbona wameadimika Sana siku hizi,nawatafutaga siwapati