Wapenzi wa samaki njooni hapa

Samaki wa bahari napenda Nile jodar
kolekole,ngisi au prawns
 
Siku izi unaweza kutaka changu ukaletewa kamongo wa maji jumvi

Ila mi mpaka leo sijaelewa wale samaki komongo wa maji chumvi wameanzaje kuitwa ivo ili hali kamongo tunayemjua sisi anapatikana maji baridi tena kuna mkavu a mbichi...wajaluo wanampenda sana na watu wa kanda ya ziwa
Changu mwacheni aitwe changu, samaki yule mtamu bwana hasa apate ndimu
 
Ukitoka Pwani changu unamjua sawa sawa
 
Samaki changu bwana, u muoke, umkaange, umpike mchuzi vyote ana fit. Sasa changu na wali wa nazi, kachumbari pembeni mmh.


Wewe ulishakula Mgebuka, Nonzi (sangara mwenye macho madogo), kuhe, Singa??---- usiambiwe.🤣
 
Hao wakubwa hapo wawili ndio Jodari.

Ila kuna hao wengine hapo wakubwa hawaonekani vizuri ndio nawakubali sana.
Hakuna jodari ni nguru hao wasioonekana vizxuri pono hao warefu msusa au chuchunge
 
Aina yangu haipo hapo [emoji23] panya buku aka samaki nchanga[emoji39][emoji39][emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…