Wapenzi wa samaki njooni hapa

Hao pweza watamu Sana, huwa nawachemsha tu, na ndimu za kutosha



Kisha nakula nyama peke yake, alafu supu nawapa wanaume wa dar.
 
Samaki changu bwana, u muoke, umkaange, umpike mchuzi vyote ana fit. Sasa changu na wali wa nazi, kachumbari pembeni mmh.
Kweli changu ni mtamu, hata mwanamke changu ni mtamu sana inaonekana changu changu ni watamu
 
Kuna jamaa yangu mmoja, nilimwambia aniletee changu kwa ajiri ya supu.



Bado kidogo nipasue dirisha, eti kaniletea "nguva" sema alikua anatembelea miguu, alafu kavaa kinguo kifupi hivi.🤔

Alafu hawa nguva nilikua nawasikia tu,
Siamini Kama nilimuona aisee😮
 

Ungempiga dole.
 
Hapo kuna PWEZA hao wenye midomo mirefu wanaitwa VIDAU huyo mwenye madoadoa anaitwa CHEWA hao waliochanganywa hapo kuna MKUNDAJI na NG'AMBANGUMU hao wawili juu waitwa PONO nahao wawili wa chini siyo Tuna bali ni BAKEM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…