Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,784
Nini tofauti ya Sato na Perege??? Naona Kama ni walewale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini tofauti ya Sato na Perege??? Naona Kama ni walewale
Kweli changu ni mtamu, hata mwanamke changu ni mtamu sana inaonekana changu changu ni watamuSamaki changu bwana, u muoke, umkaange, umpike mchuzi vyote ana fit. Sasa changu na wali wa nazi, kachumbari pembeni mmh.
Kuna jamaa yangu mmoja, nilimwambia aniletee changu kwa ajiri ya supu.
Bado kidogo nipasue dirisha, eti kaniletea "nguva" sema alikua anatembelea miguu, alafu kavaa kinguo kifupi hivi.[emoji848]
Alafu hawa nguva nilikua nawasikia tu,
Siamini Kama nilimuona aisee[emoji50]
Hao sio vibua wakwetu. Haa wanatokea msumbiji mjini tunawaita kamongoKibua inaua nguvu za kiume wanapigwa dawa
mckerel ndo huyohuyo kibuaHapana changu ni snapper Kiingereza, kingfish ni mackerel
Kibua ni mdogomckerel ndo huyohuyo kibua
yah ila ni jamii hiyo hiyoKibua ni mdogo
Shekhe kuna fulusi, chongoe , bluefish, haaaaaha barracudaSamaki ni changu na Tasi basi!