Phone4Sale Wapenzi wa Samsung Note5 na S8+ simu zenu zimefika

Phone4Sale Wapenzi wa Samsung Note5 na S8+ simu zenu zimefika

Nina s8 yangu imezima ghafla inaandika "custom binary blocked by frp" wataalam wa mambo nisaidien
 
Original zinabebwa kwenye kapu? Hazina maboksi silidi?
Mkuu jibu ni rahisi sana unatakiwa utofautishe original, fake, used, brand new au refurbished. Hizi za kwetu ni original used. Sasa box kwenye simu used inatoka wapi. Ila ukitaka box unapewa. Watu wengi ndo wanauziwaga mbuzi kwenye gunia. Wengi wanaochukua simu za jumla hutafutia box na kuwapeni kama mpya.
 
Back
Top Bottom