Wapenzi wa Simba tukutane Salasala Jumamosi asubuhi Kuna birika 3 za kahawa tumewanunulia kuwapa pole!

Wapenzi wa Simba tukutane Salasala Jumamosi asubuhi Kuna birika 3 za kahawa tumewanunulia kuwapa pole!

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau na wapenzi wote wa soka Tanzania

Nawataarifu Jumamosi Oktoba 21,2023 saa 2 asubuhi kutakuwa na shughuli maalumu kuwafariji Wana Simba kwa kipigo watakachopata kutoka Mabigwa wa Africa Al Ahry ya Misri.

Ni sisi wapenzi wa Yanga hapa Salasala mwisho wa lami tumeamua kuchangishana Fedha na kununua birika 3 za Kahawa na Kashata za kutosha.

Ni njia ya kuwapa pole Ndugu zetu hao kwa kipigo watakachopata kutoka kwa mabigwa wa Africa Al Ahly ya Misri

Tunaomba tujumuike pamoja siku hiyo na Watani zetu wa Msimbazi

Aksanteni sana
 

Attachments

  • 1697643941723.jpg
    1697643941723.jpg
    71.3 KB · Views: 3
Back
Top Bottom