Nimejaribu kufuatilia mitandaoni leo hasa mara baada ya Club ya Simba "kupost" nani atakuwa mgeni rasmi mechi ya kesho dhidi ya Plateau ya Nigeria. Kwa mfano ukiangalia mtandao wa Club wa Facebook
utaona ni jinsi gani wapenzi na washabiki wa Simba wasivyofurahiswha na huu utaratibu ulioanzishwa hasa katika kipindi hiki chaa miaka miwili mitatu tokea aingize miguu yake huyu Gabachori (MO). Makemcho wanajulikana saana duniani koote kwa kupenda kulamba miguu ya watu wenye mamlaka zaidi lakini kwa hili wanatakiwa wajitafakari kama bado wanahitaji kujenga "fan base" kwani sio mara ya kwanza washabiki wa Smba kuchafukwa na hii tabia ya viongozi wao kujipendekeza