Wapenzi wa Ureno kombe la dunia tufahamiane hapa!

Wapenzi wa Ureno kombe la dunia tufahamiane hapa!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
14,205
Reaction score
19,142
Huu ndiyo wakati muafaka wa Ureno kubeba kombe la dunia. Ina vipaji lukuki na bado wanaye veteran CR7 wa kuwahamasisha ndani ya uwanja! Bila shaka haya yatakuwa mashindano ya mwisho CR7 kushiriki kombe la dunia kama mchezaji! Mashindano yajayo atakuwa na miaka 45!! Nadhani baada ya Euro 2028 atastaafu soka rasmi!
 
Hakika hii ni world cup ya mwisho kwa Ronaldo na akishindwa ku win this time basi atabaki kuwa chini ya Messi daima
 
Mimi nampenda CR7 lakini si shabiki wa ureno. nipo kwa germany.
 
Back
Top Bottom