Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Kama ushawahi zielewa Volvo XC60 SUV, nadhani utaipenda hii EV ya Volvo, EX60.
Ipo kwenye Platform ya Volvo SPA 3, kwahiyo inashare na best selling Volvo EV Polestar 7, na zinakuja either RWD yenye motor moja nyuma (560 HP) au AWD yenye motor mbili, moja matajiri ya nyuma na nyingine mbele na Ina 670 hp.
Kuhusu battery, inakuja na 80 kWh, 91 kWh au 112 kWh, na zitakupa range hadi ya 640 km.
Bei, ni MSRP ya $59,000.