Kwa msiofahamu maana ya MSRP , maana yake ni bei elekeza, ni bei ambayo mzalishaji ana recommend wauzaji wauze hio bidhaa...
Haihusishi kodi na takataka zingine..
Gari nzuri, Sikutegemea kama haya makampuni ya Ulaya siku moja watanzania EV kwa bei kama hio...
Mbona Mjapan ni kama anazikwa kwenye hii race ya EVs na Mchina?