Wapenzi wakukutana mitandaoni

Me too

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2015
Posts
7,388
Reaction score
9,333
hapa nazungumzia wale wanatongozeana kupitia mitandao ya kijamii,, maisha yao huwa hivi,,

1)baada ya kukubaliwa ombi mawasiliano huwa matamu sana

2)baada ya kupeana mautamu kwa mara ya kwanza

3)mlipo agana kila mtu kwake 【mikoa tofauti】kila mmoja atakuwa anakesha na simu kukufatilia kama umetoa siri ya mlivodate, au kuna mtu anakunyemelea hii unasahau hadi kumpigia simu kumjuilia hali huyo mpenzi wako wa mtandaoni.4)ulipo gundua yupo online hadi usiku wa manane ila hakwambii ata gudnight unaamua kukesha kwenye chaji

5)ulipoona kama vile wewe ndo unalazimisha mapenzi ukaamua usikilize mziki kila ifikapo usiku

6)siku ziliposonga mwenza wako wa mtandaoni akakukumbuka safari hii akahitaji aje akae kwako kbsa ila ndoivo nae hajiamini kwa wapenzi alionao

7)mkitoka nae matembezi anakuwa na wasiwasi wa kufumaniwa hivo matembezi na wewe hakuna labda lodge

8) baada ya kutumiana sana nyuchi sasa wapenzi halisi nje ya mitandaoni wanaanza kusumbua

9) kwakuwa uliaga kwa mpenzi wako halisi kuwa upo kikazi somewhere, kabla hujaridi nyumbani kwa mpenzi wa mtandaoni unaamua uwasiliane kwanza na mpenzi halisi

10) baada ya kuchoshwa na utumwa hapa ndio visababu vya hapa na pale huibuka km vile mbona hatuzai watoto, mbona hunipeleki kwenu yote haya tu mmechokana

la mwisho kabisa couple za mtandaoni haziwezi kukaa na kutatua changamoto zao pia haziwezi kukaa na kujadili mambo endelevu ya msingi. hii ni kwavile kila mmojawapo anajipa kiburi cha akikosa hiki wapo wengi fb ntawapata au akijishaua ntamchukua flani wa inst maisha yatasonga.


jumapili njema kwenu.
 
Hata hivo mapenzi ya mtandaoni ni ya kufurahishana tu hutakiwi kuyawekea userious kabisa..mapenz siku hizi hayapo real sehemu zote ivo ukimpata enjoy mpaka mtakapochokana then u go on
 
Hata hivo mapenzi ya mtandaoni ni ya kufurahishana tu hutakiwi kuyawekea userious kabisa..mapenz siku hizi hayapo real sehemu zote ivo ukimpata enjoy mpaka mtakapochokana then u go on
kbs
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…