wapenzi wangu...

wapenzi wangu...

dada huyoooooooo!! tunakukosa sana bana!!!
 
Karibu tena Nilham! Tulikusosa sana. Ni furaha kwangu na wana JF wengi kama sio wote.
 
s,alykm :hand:wapenzi wangu wooote wa jf.... akhbari zenu jamani?? ni wiki tena sijawaoneni ... mie sina news ila nimewamiss sana sana.... inshallah nawatakieni siku nzuri....

from your lovely
nilham......
:rain:

Dah huyu dada cjui alikuwa wapi,nilimc kuona text zake.
 
Back
Top Bottom