Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Hahaha hawajui Mpira hawa, PSG katoka kutushangazia watu huko, kwa alichofanywa kule kwao nani leo alitegemea hiliJichekesheni tu...
Bayern Munich walishawahi kupigwa 9-0 na hawajafa.
Sio matokeo ya kushangaza haya, labda kama hujacheki game.Hahaha hawajui Mpira hawa, PSG katoka kutushangazia watu huko, kwa alichofanywa kule kwao nani leo alitegemea hiliView attachment 2965828
Siyo idadi ya magoli naongelea kupindua matokeo na kuenda nusu fainali, labda kama hukusikia watu walivyokuwa na mashaka na psg tangia msimu unaanza, hata hivyo we unadhani kwenye mikeka wangapi walimpa psg katika mechi hiyoSio matokeo ya kushangaza haya, labda kama hujacheki game.
Ulitegemea kwa ile red card ya mapema Barca atoboe au umeanza kuujua mpira baada ya kununua smartphone?Siyo idadi ya magoli naongelea kupindua matokeo na kuenda nusu fainali, labda kama hukusikia watu walivyokuwa na mashaka na psg tangia msimu unaanza, hata hivyo we unadhani kwenye mikeka wangapi walimpa psg katika mechi hiyo
NIna treni langu sportpesa nimempa ushindi yangaMimi natamani tu kujua mashabiki wa yanga wameipa timu gani ushindi huko kwenye mikeka, maana mimi huku kila shabiki wa yanga ninayemuambia tubet tumpe yanga ushindi, maana ni uhakika pesa lazima irudi na faida juu eti hataki
Duuh ni mara ngapi timu zinacheza na wapinzani kumi na hazitoboiUlitegemea kwa ile red card ya mapema Barca atoboe au umeanza kuujua mpira baada ya kununua smartphone?
Safi tulia upige pesa mkuuNIna treni langu sportpesa nimempa ushindi yanga
Ni mara chache sanaDuuh ni mara ngapi timu zinacheza na wapinzani kumi na hazitoboi
Nafahamu, kwahiyo red card siyo tiketi ya moja kwa moja ya timu pinzani kutoboa, tukumbuke barcelona siyo ihefu mkuuNi mara chache sana
Kumbe wewe ni gambler, mimi naongelea mechi husika na sio kamari.Siyo idadi ya magoli naongelea kupindua matokeo na kuenda nusu fainali, labda kama hukusikia watu walivyokuwa na mashaka na psg tangia msimu unaanza, hata hivyo we unadhani kwenye mikeka wangapi walimpa psg katika mechi hiyo