BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,913
Sasa kama sina cha ku tell
we unafanya nini labda kwenye comments zangu?!
Muhahahahaha
Jielewe bro!
Ni wapenzi wa aina gan wanatakiwaAhahahahahaa
Ndio hao hao watazamaji
Jiue tu! Ntakuja kwenye msiba wako!I gave you only one month..! Usipo nikubalia najiua..
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Mimi mtazamaji don't ask me abt money!Ahahaha
Mpenz mtazamaji buana
Mwenzio aliniambia nikubalie awe mpenz wangu yupo radhi kuwa mwizi lakini ananipenda sana
Hahahahah! Poa mkuuHahaha
Nimeipenda sana hii video sana
Haijanigusa
Imepita tu kama harufu ya chooni
Bro povu vepee
Wanajijua walioomba kuonana nami
Wapo wengi me wewe sio mmoja wapi
So will you please KEEP QUIET?!
AU NJOO USOME. HUKU maana hauna kazi
Story: Money Penny ni nani lakini?!
Usijali mumy
Hellow
Nimeona niliongelee hili kabla mambo hayajaharibika maana mtaani kushakuwa sheedah!
Hata kama mnasema maisha magumu lakini sio kwa usahili huu jamaaa
Ushawahi kuwa na mpenz ambae ni msikilizaji au mtazamaji au vyote? !
Mpenz msikilizaji:
Huyu huwa yupo buzy kusikiliza matatizo yako lakini hakusaidiii na ushauri hakupi lakini anakuimbia nyimbo za nakupenda nakupenda nina genye, nimekumiss... Ila mambo ya kijamii hakusaidiii, kama ni mwanamke pesa za matumizi hakupi ila anategemea akupe free mbupu
Mpenzi Mtazamaji:
Huyu bwana unaweza lia kabisaa
Yeye kazi yake kukuangalia na wimbo ule ule wa nakupenda lakini hana msaada! Wengine wanapenda Kuwaita manyonya damu wa maisha!
Kati ya hao wawili wewe Ushawahi kuwa na yupi? !
Anaweza akawa rafiki, shoga yako, best friend, beibe, ndugu, mchepuko, workmate, comrade!
Ps:
Nimesikia vilio yenu kuwa mnataka kuonana na mimi Money Penny kufahamiana na kubadilishana mawazo au mawili matatu kabla sijaondoka Tz for good...
Kwa wale waliopo Dar, mnitumie namba zenu za simu inbox /dm nitampa Manager wangu atawa contact,
Manager ameandaa a small workshop ya money penny ambao huko nitakuwa nauza kile ee kitabu changu cha story yangu ya kwaaaanza mnakumbuka ee, inaitwa lemonade! Kwa ambao mmeimiss link hii hapa
Some lemonade for you madame!
kama utapenda tuonane na kubadilishana mawili matatu na kufahamiana karibu sana.
Pia kutakuwa na mgeni mwalikwa anaweza kuwa Waziri au Mbunge au Katibu Mkuu flani au mkuu wa Mkoa au Meya it's a surprise yooow usikuoseee!
Kutakuwa na waandishi mbali mbali wa vitabu vya hadithi mbalimbali kwa ajili ya kufahamiana, I Pray Shigongo atakuwepo oooo!
I pray lara 1 atakuwepo ooo!
I pray Kyalow Ushimen
Mtakuwepo oooo
Asanteni sana kwa support yenu wana JF, Love you all
See you all kwenye stori yangu mpya on 1st July 2017 [URL='https://www.jamiiforums.com/threads/story-money-penny-ni-nani-lakini.1246322/']Story: Money Penny ni nani lakini?![/URL]
[MEDIA=dailymotion]x2puchl[/MEDIA]
Asante kwa mwaliko I wish ningeweza kuja. Ila sapoti utapata kwa kupata nakala moja ya kitabu.Hellow

Kwaiyo alikuwa mpenz msikilizaji kwako na wewe mpenzi mtazamaji kwake
Nimekusoma
Ahahaha
una yogurt ya maana hapo kifuani...Ukimaliza kulia lia uje u subscribe hapa
DADA WA MAPENZI NOMA SANA, MWANDISHI
MKALI, WA UKWELI
AMEKUJA SASA LIVE KWA YOU TUBE
BONYEZA HAPA UMWONE
USISAHAU KU SUBSCRIBE