Wapenzi wasikilizaji na wapenzi watazamaji....

Niliwahi kuwa na mshikaji tu wala si mpenzi kivile maana nilimpiga dochi mapemaaaa. Yeye alikuwa anapenda sana umbea hrough Instagram, Facebook, na other platforms. Akija home kwangu, ni kushinda kuangalia bongo movie zake anazokuja nazo na kusikiliza her stupid bongo fleva. Baada ya kumsoma kuwa ni limbukeni, nilianza kumpiga marufuku kusikiliza fleva na bongo movie ila akawa anakomaa na umbea. Nikamfukizia mbali.
 
Hellow
Nimeona niliongelee hili kabla mambo hayajaharibika maana mtaani kushakuwa sheedah!

Hata kama mnasema maisha magumu lakini sio kwa usahili huu jamaaa

Ushawahi kuwa na mpenz ambae ni msikilizaji au mtazamaji au vyote? !

Mpenz msikilizaji:
Huyu huwa yupo buzy kusikiliza matatizo yako lakini hakusaidiii na ushauri hakupi lakini anakuimbia nyimbo za nakupenda nakupenda nina genye, nimekumiss... Ila mambo ya kijamii hakusaidiii, kama ni mwanamke pesa za matumizi hakupi ila anategemea akupe free mbupu

Mpenzi Mtazamaji:
Huyu bwana unaweza lia kabisaa
Yeye kazi yake kukuangalia na wimbo ule ule wa nakupenda lakini hana msaada! Wengine wanapenda Kuwaita manyonya damu wa maisha!

Kati ya hao wawili wewe Ushawahi kuwa na yupi? !

Anaweza akawa rafiki, shoga yako, best friend, beibe, ndugu, mchepuko, workmate, comrade!

Ps:
Nimesikia vilio yenu kuwa mnataka kuonana na mimi Money Penny kufahamiana na kubadilishana mawazo au mawili matatu kabla sijaondoka Tz for good...

Kwa wale waliopo Dar, mnitumie namba zenu za simu inbox /dm nitampa Manager wangu atawa contact,

Manager ameandaa a small workshop ya money penny ambao huko nitakuwa nauza kile ee kitabu changu cha story yangu ya kwaaaanza mnakumbuka ee, inaitwa lemonade! Kwa ambao mmeimiss link hii hapa
Some lemonade for you madame!

kama utapenda tuonane na kubadilishana mawili matatu na kufahamiana karibu sana.

Pia kutakuwa na mgeni mwalikwa anaweza kuwa Waziri au Mbunge au Katibu Mkuu flani au mkuu wa Mkoa au Meya it's a surprise yooow usikuoseee!

Kutakuwa na waandishi mbali mbali wa vitabu vya hadithi mbalimbali kwa ajili ya kufahamiana, I Pray Shigongo atakuwepo oooo!
I pray lara 1 atakuwepo ooo!
I pray Kyalow Ushimen
Mtakuwepo oooo

Asanteni sana kwa support yenu wana JF, Love you all

See you all kwenye stori yangu mpya on 1st July 2017 [URL='https://www.jamiiforums.com/threads/story-money-penny-ni-nani-lakini.1246322/']Story: Money Penny ni nani lakini?![/URL]

[MEDIA=dailymotion]x2puchl[/MEDIA]
 
Asante kwa mwaliko I wish ningeweza kuja. Ila sapoti utapata kwa kupata nakala moja ya kitabu.
 
Kweli 50 cents ameteka dunia, hadi kwenye mahusiano mambo tafrani cent zinaleta utata jamani
 
Ukimaliza kulia lia uje u subscribe hapa

DADA WA MAPENZI NOMA SANA, MWANDISHI
MKALI, WA UKWELI
AMEKUJA SASA LIVE KWA YOU TUBE

BONYEZA HAPA UMWONE

USISAHAU KU SUBSCRIBE

una yogurt ya maana hapo kifuani...
one more thing toa hayo matambala tuone hiyo housing.
 
Back
Top Bottom