Wapenzi watatu bora

Wapenzi watatu bora

Kama wafuatao wangekubali kuwa katika mitaala wangependeza

4
Kasie mahondaw smart911

Kama kuna wengine taja

Nimefuta wote nimebakisha hiyo list ambayo umeniweka, kwanza utambue Kasie ni former Kasinde hivo nakutajia waliokuwa wachumba zangu miaka hiyo...... na hapo utanitoa kwenye hiyo list ya kuwa na Smart911 kwasababu niko na dadii angu.

Dadii amenishika vidole nisiwaandike kapo zangu za zamani hivo nimesitisha kuwataja.

Ukipenda waweza weka kapo ya Kasie na Dadii aka Nyonda-ake Kasie na si mwingine yeyote. Vile twajiandaa na vacation ya mwisho wa mwaka huu mambo motomoto yafuata.

Haya mipangilio mema ya kapo na siku njema.
 
Back
Top Bottom