Wapendwa nipo ughaibuni kwa takriban wiki sasa. Ughaibuni huku pamekua na matatizo ya mtandao mno. Kiasi nalazimika hadi niende kwenye miinuko kama nilipo sasa.
Ndiyo maana headin yangu nimeiwekea msisitizo mnijibu kabla mtandao haujanivuka! Nikitoka tu nilipo mtandao kwishney!
Wadau nimeulizwa swali nimechemsha! Nimelazimika nilitupe kwenu mnihelpu wapendwa wangu.
SWALI ;-
Kama wewe ni mwanaume ni kipi kina machungu makuu kitokeapo kwa mkeo kati ya , ama umegewe/utafuniwe mkeo na kufiwa mkeo?
Kama wewe ni mwanamke kati ya mumeo am'mege mwanamke mwingine au kifo cha mumeo?
Uchungu mkubwa uko wapi?