Wapi 20%: Kweli bila skendo na kuishi magazetini hu-survive kwenye game

Winnie227

Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
86
Reaction score
41
Baba 20% sio unafki ana kipaji, na katika wasanii watunzi wazuri na wenye kipaji ni huyu hapa. Sasa sijui tatizo ni nyota? Simsikii tena hau itakua kukosa kashfa na Kushinda magazetini ndo maana vipaji kama hivi haviskiki.
 
Yule alvuma bla ata kuandkwa kwny magazet hyo iliyo mbumisha ni mi bang yake mwnyw
 
yupo kimanz full kunywa gongo na ganja,kipaji bado anacho lakini na kama akipata washauri na manager mzuri,atafanya mambo makubwa xaana tuu huyu dogo.
 
Baba 20% sio unafki ana kipaji, na katika wasanii watunzi wazuri na wenye kipaji ni huyu hapa. Sasa sijui tatizo ni nyota? Simsikii tena hau itakua kukosa kashfa na Kushinda magazetini ndo maana vipaji kama hivi haviskiki.

Hivi unadhani alivyiimba bange bange bange imesababisha mi nidatee hakumaanisha?
 
mara ya mwisho kumuona ilikuwa NANJILINJI akipiga show
 
Baba 20% sio unafki ana kipaji, na katika wasanii watunzi wazuri na wenye kipaji ni huyu hapa. Sasa sijui tatizo ni nyota? Simsikii tena hau itakua kukosa kashfa na Kushinda magazetini ndo maana vipaji kama hivi haviskiki.

Na yeye ana skendo zake, unaikumbuka hiii…?
 
Attachments

  • 1422811329304.jpg
    1422811329304.jpg
    23.8 KB · Views: 185
Baba 20% sio unafki ana kipaji, na katika wasanii watunzi wazuri na wenye kipaji ni huyu hapa. Sasa sijui tatizo ni nyota? Simsikii tena hau itakua kukosa kashfa na Kushinda magazetini ndo maana vipaji kama hivi haviskiki.

he isn't in jail?
 
Back
Top Bottom