Wapi alipo Jozee Chameleon?

Wapi alipo Jozee Chameleon?

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,304
Reaction score
830
Huyu mwamba amepotea sana katika ulingo wa musik,

Namis sana song zake hasa "Tubonge" na "Badilisha"

Aliko mwambien Funs wake tumemmis kinyamaa yaan

1649401601062.png
 
Ana ugonjwa wa kutembea huku yuko usingizini. Ni noma sana.
 
Huyu mwamba amepotea sana katika ulingo wa musik,

Namis sana song zake hasa "Tubonge" na "Badilisha"

Aliko mwambien Funs wake tumemmis kinyamaa yaan
Jamaa alikuwa kila mwaka anatoa hit kama mbili zinahit kisawasawa.
Naona mambo now yamebadilika anayekimbiza pande hizo kwa sasa ni edy kenzo.
Nilipenda sana album yake ya kwanza pia na nyimbo zake nyingine kama acha kulia shida za dunia na track kibao.
Nakumbika bushoke alienda uganda miaka hiyo akawa anashangaa jamaa akipita mtaani watu wanatoka madukan wanamfuata kama diamond inavyokuwa kwa sasa
 
Back
Top Bottom