Wapi alipo Jozee Chameleon?

Wapi alipo Jozee Chameleon?

Yuko UG,alipitia changamoto ya kuuguaugua,nadhani saa hizi yuko njema.
Hakuna anachonifurahisha nacho Jose Chameleon kama bitrates/midundo iliyoshiba, viitikio na umaliziaji wa miziki.

Pia ana sauti inayojitosheleza mno kwa pumzi ya kuimba mda mrefu bila ya kukatisha sauti(kuweka weka vituo).

Nyimbo zake huwa zinaniondolea sana stress kwa 70%, kunipa elimu na kuniburudisha sana.
 
Wewe ni muongo!
 
Jamaa anagonga beat imeshiba , beat nzito Kias kwamba hata spika za Sony zinatendewa haki , chameleon alikuwa anajiweza Sana , sio Hz za bongo fleva za sa hv beat laini full screaming aaah
 
Mbona kama aligombea ubunge kupitia chama cha NPU.
 
Huyu alikuwa kila anachotoa ni hit wala alikuwa hakosei.
 
Back
Top Bottom