Duhhh.....Alikuwa kwenye himaya tangu zamani.
Mara ya mwisho nilikutana naye KT, alisema yuko busy na vyumaNi kweli nashangaa katulia sana huyo bi Dada.
Ukimpata mwambie yule jamaa wa Songwe anakuita huku JF.
Njema, yeah nina kama siku ya tatu nilikuchek wasap kuna namba ako moja sjui umeitupia wapiMadam za jioni, usharudi?
Njema, yeah nina kama siku ya tatu nilikuchek wasap kuna namba ako moja sjui umeitupia wapi
Nisaidieni kujua alipo huyu dada amepotea humu ghafla hadi natetemeka.
Mhh na namba pia??Nimebadili simu, setting zinanichanganya za hii simu mpya, technology yenu hii wazee tunaivamia.