Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Nisaidieni kujua alipo huyu dada amepotea humu ghafla hadi natetemeka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, we endelea kutetemeka.Nisaidieni kujua alipo huyu dada amepotea humu ghafla hadi natetemeka.
Kapeace tangu awe mke wa mtu haja log in jf
Alikuwa mke wa mtu kabla hajaijua JFKapeace tangu awe mke wa mtu haja log in jf
LohYuko busy, ngoja nimwite aje awasalimie.
Alikuwa kwenye himaya tangu zamani.Mkuu, we endelea kutetemeka.
Kapeace yupo kwenye himaya ya mtu now days
Ukimpata mwambie yule jamaa wa Songwe anakuita huku JF.Yuko busy, ngoja nimwite aje awasalimie.
Madame si ulikuwa rafiki yake sana au urafiki ulivunjika?
Ni kweli nashangaa katulia sana huyo bi Dada.Alikuwa mke wa mtu kabla hajaijua JF
Alikuwa mke wa mtu zamani sana.Kapeace tangu awe mke wa mtu haja log in jf
Tulikua tunakutana tu kwenye comments ndugu yanguMadame si ulikuwa rafiki yake sana au urafiki ulivunjika?
Dah mzee Hooneymoon ya miezi mitatu au yupo kwenye matoke.Yupo honeymoon
Atakuwa Kaharibikiwa na Tecno yake.Aiseee muda sana hajaonekana
Dah ndio kashakuacha mwenzio unasikia yupo Hooneymoon anakula Bata.Tulikua tunakutana tu kwenye comments ndugu yangu
Kila jambo na wakati wake wakati wangu ukifika nitakua inshallahDah ndio kashakuacha mwenzio unasikia yupo Hooneymoon anakula Bata.
Usijali itafika.Kila jambo na wakati wake wakati wangu ukifika nitakua inshallah