Mi bishoo tu
Senior Member
- Jun 3, 2023
- 122
- 294
Video vixen amber rutty kapotelea wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kha[emoji23]Jiwe yupo mbinguni maana kale kajamaa kalikozibua huu mtaro bila huruma kalijizolea dhambi za waTanzania wote [emoji114]
Mrembo nakuona na tabasamu bashashaa 😃Kha[emoji23]
Serious au?yuko kariakoo amekua mama lishe mtaa wa congo na agrrey pale ukifika tu we uliza wenyeji wa pale watakuonesha
unatakaka ukale chakula niniSerious au?
Ndo maana nimepunguza kula kwa mama lishe maana wapishi hawaaminiki, ukigundua mambo wanayofanya unaweza kutapika miez 6yuko kariakoo amekua mama lishe mtaa wa congo na agrrey pale ukifika tu we uliza wenyeji wa pale watakuonesha
Kuna Shule huko Chanika ilimualika kama mgeni Maalum. Mixer kuita wanafunzi assembly Umber akawapa Nasahaa mwisho akawa na kikao na walimu wakaelezea matitizo yao likiwemo la shule nahitaji uzio. Hii nchi ni halali DP world wainunue. check YouTube
[emoji16][emoji16][emoji16]aisee! Imebidi nicheke japo inasikitisha. Kwa hali hii tuuze hadi ikuluKuna Shule huko Chanika ilimualika kama mgeni Maalum. Mixer kuita wanafunzi assembly Umber akawapa Nasahaa mwisho akawa na kikao na walimu wakaelezea matitizo yao likiwemo la shule nahitaji uzio. Hii nchi ni halali DP world wainunue. check YouTube
Kula chuma hichoView attachment 2716164