Wapi alipo winga teleza Ramadhan Singano ""Messi""?

Tatizo lilianzia pale mlipoanza kumuita Messi
 
Umbo lake dogo, guu lake la kushoto hivyo kwa maoni ndio vilifanya mashabiki wa simba wamfananishe na muargentina Lionel Messi, pengine kwa bahati mbaya alilewa sifa akasahau kuweka jitihada zaidi matokeo yake akapotea kwenye ramani ya soka la kibongo mapema mno.
 
jamal mwambeleko alikuwa mbao anacheza kikosi cha kwanza now kahamia simba anapigwa benchi mwanzo mwisho!! vp na yeye sifa na ushauri wa ajabu vimemponza??........tatizo lenu nyie mashabiki wa simba na yanga mnaona timu zenu km timu za malaika mchezaji hatakiwi kuhama hta km amepata dau nono timu nyingine same to domayo alivyoondoka yanga waliongea maneno kbao ya kumkatisha tamaa. sema alikaza roho leo anaishi big life akiwa azam
Jamal kaja Simba aongeze ushindani ktk namba yake, anapangwa anayestahili, sio akija tu ni namba yake. Hata Niyonzima amatakiwa apambane na Ndemla akishindwa benchi linamuhusu.
 
Umbo lake dogo, guu lake la kushoto hivyo kwa maoni ndio vilifanya mashabiki wa simba wamfananishe na muargentina Lionel Messi, pengine kwa bahati mbaya alilewa sifa akasahau kuweka jitihada zaidi matokeo yake akapotea kwenye ramani ya soka la kibongo mapema mno.
Hajapotelea simba, kapotelea akiwa Azam.
 
Frank Domayo wakati anatoka yanga kwenda azam kulikuwa na maneno jambo ambalo nila kawaida kwa soka letu la bongo, huyu alipotea kwa muda kwasababu alivyo fika azam alikuwa na majeraha ikamlazimu kupelekwa Africa Kusini kufanyiwa operesheni, hvy alikaa nje ya uwanja kwa muda kidogo,naona karejea ingawa makali yale sio km enzi zile akiwa jangwani.
Paul Nonga.
 
Ina maana dogo kachuja kiasi kwamba hawekwi ata kwenye wachezaji wa akiba? Alinivutia sana na uchezaji wake akiwa simba, watu walimtabiria mengi ila nasikitika kuona hajafika mbali.
Yupo SUB na pia anacheza mechi za Majeruhi!
 
hyo ni nature ya binadamu yoyote kutafuta malisho bora zaidi kuliko sehemu aliyopo, singano alifanya uamuzi sahihi kuondoka simba coz walimuahidi kumfanyia vitu vingi lkn hawakuvifanya sasa ulitka afanyaje? aendelee kuvumilia ujinga ...now yupo azam analipwa vizuri tu izo changamoto za kukaa benchi wamepitia wengi tu! ye sio wa kwanza
Umeongea vizuri. Pale Azam, namba ya Singano INA upinzani mkubwa Sana. Na kukaa bench Si kitu cha ajabu. MWADINI ALLY alipokwa namba na AISHI, akasugua! Na sasa kuna ABAROA, bado MWADINI anasugua! Akicheza basi ni pale Abaroa anapokuwa na shida!
 
jamal mwambeleko alikuwa mbao anacheza kikosi cha kwanza now kahamia simba anapigwa benchi mwanzo mwisho!! vp na yeye sifa na ushauri wa ajabu vimemponza??........tatizo lenu nyie mashabiki wa simba na yanga mnaona timu zenu km timu za malaika mchezaji hatakiwi kuhama hta km amepata dau nono timu nyingine same to domayo alivyoondoka yanga waliongea maneno kbao ya kumkatisha tamaa. sema alikaza roho leo anaishi big life akiwa azam
Mbumbumbu watakuambia hata AJIBU hana kiwango. Watamsema hata TAMBWE
 
jamal mwambeleko alikuwa mbao anacheza kikosi cha kwanza now kahamia simba anapigwa benchi mwanzo mwisho!! vp na yeye sifa na ushauri wa ajabu vimemponza??........tatizo lenu nyie mashabiki wa simba na yanga mnaona timu zenu km timu za malaika mchezaji hatakiwi kuhama hta km amepata dau nono timu nyingine same to domayo alivyoondoka yanga waliongea maneno kbao ya kumkatisha tamaa. sema alikaza roho leo anaishi big life akiwa azam
Suala la kucheza ni maamuzi ya kocha kwa kadri ya programu ya timu na mipango ya kocha kwa mechi husika iwe Simba au Yanga.
Kwa suala la Singano, nafikiri bado wachezaji wetu wanahitaji kuwa na washauri wanaoweza kuwajenga vema kabla hawajachukua hatua ya kufanya maamuzi yanayoweza kuathiri future yao.
 
Vipi Kuhusu Didier kavumbagu
Huyu jamaa naye kapotea
Fasta
Anaenisikitisha ni AME ALLY "ZUNGU", Kutoka MTIBWA to AZAM, to SIMBA na sasa KAGERA na huko na anasugua
 
Suala la kucheza ni maamuzi ya kocha kwa kadri ya programu ya timu na mipango ya kocha kwa mechi husika iwe Simba au Yanga.
Kwa suala la Singano, nafikiri bado wachezaji wetu wanahitaji kuwa na washauri wanaoweza kuwajenga vema kabla hawajachukua hatua ya kufanya maamuzi yanayoweza kuathiri future yao.
Umenena vyema kabisa mkuu, washauri ni watu muhimu sana, kwa kiasi fulani wachezaji wetu wa nyumbani wameanza ku improve ata kwenye press zao.
 
jamal mwambeleko alikuwa mbao anacheza kikosi cha kwanza now kahamia simba anapigwa benchi mwanzo mwisho!! vp na yeye sifa na ushauri wa ajabu vimemponza??........tatizo lenu nyie mashabiki wa simba na yanga mnaona timu zenu km timu za malaika mchezaji hatakiwi kuhama hta km amepata dau nono timu nyingine same to domayo alivyoondoka yanga waliongea maneno kbao ya kumkatisha tamaa. sema alikaza roho leo anaishi big life akiwa azam
siyo kweli kipaji na ukijituma huwa hakipotei na team ni nyingi mnooo si tz tu sammataalilazimisha na ajkaondoka simba now unajua aliko fika??? tafakari
 
Suala la kucheza ni maamuzi ya kocha kwa kadri ya programu ya timu na mipango ya kocha kwa mechi husika iwe Simba au Yanga.
Kwa suala la Singano, nafikiri bado wachezaji wetu wanahitaji kuwa na washauri wanaoweza kuwajenga vema kabla hawajachukua hatua ya kufanya maamuzi yanayoweza kuathiri future yao.
Umenena vyema kabisa mkuu, washauri ni watu muhimu sana, kwa kiasi fulani wachezaji wetu wa nyumbani wameanza ku improve kwenye press.
 
Ahsante kwa kuliona.Hao akina Yaya Toure na wengine wametoboa kwa ajili hiyo.Hata Samatta angekuwa na papara, asingefanikiwa.
 
Back
Top Bottom