Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akija atatukosoa ulivyoshindwa kuandika vizuri fanya uhariri kwanzaFaiza foxy uko wapi mama?
Mara ya mwisho kumsifia asiyejal(r)ibiwa ni Nivomba 2015
Akija atatukosoa ulivyoshindwa kuandika vizuri fanya uhariri kwanza
HowBibi katoweka ghafla...
Sidhani kama kumuita Bibi ni kitu Kikubwa kiasi hicho....Una miaka mingapi mpaka awe bibi yako huyo? ? Obsession huwa zinaanza hivyo hivyo kama ilivyotokea kwa comrade Ngabu.
How
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Akija atatukosoa ulivyoshindwa kuandika vizuri fanya uhariri kwanza
Mie sijaona mkuu [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Siku mbili tatu nyuma amekomenti kwa uzi humu..
Skirini shoti nione[emoji119]
siku hizi rada zake hazina kasi sana maana kashindwa mleta miss chagaitabidi tumuombe mshana jr amcheki kwenye GPS zake.