Wapi Dena Amsi??

Wapi Dena Amsi??

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
6,986
Reaction score
5,058
Huyu dada/mamdogo nilikuwa napenda sana kusoma ushauri wake hasa kwenye jukwaa hili la mmu. Ni miezi kadhaa imepita sijaona post/ushauri wake humu jukwaani. Jamani nimemmiss huyu mamdogo au Israel kampitia nini?
 
I was asking myself the same question.......plus...Lizzy Afro and Mentor....really missing u guys......
 
Alipita juzi na kupotea tena......ila kweli amekuwa kimya sana!
 
tangu afiwe na bibi yake mpendwa tegeta haonekani sana. Inaonekana kuna mambo ya kifamilia yanambana.
 
Wewe nawe,sasa hiyo israili kamchukua imetoka wapi? Hembu cheki uzi wangu "Nimewamiss.."ni juzi tu kajimwaga huko,yupo tele!
 
Wewe nawe,sasa hiyo israili kamchukua imetoka wapi? Hembu cheki uzi wangu "Nimewamiss.."ni juzi tu kajimwaga huko,yupo tele!
mmmh! mwe! hatimaye Israel kampitia kweli! pumzika kwa amani mpendwa wetu
 
Wewe nawe,sasa hiyo israili kamchukua imetoka wapi? Hembu cheki uzi wangu "Nimewamiss.."ni juzi tu kajimwaga huko,yupo tele!
Dah nimekumbruka sana hii...Pumzika kwa amani Dena Amsi
 
DENA AMSI AMESHATANGULIA MBELE YA HAKI MAY DEAR GOD REST HER SOUL. IN PEACE[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
 
Back
Top Bottom