Huyo tangu alivoisapoti chama chakavu ndo kwisha habari yake km original komedi vile,Huyu jamaa yuko wapi mbona kapotea haraka kusikojulikana? Meneja wake atoe majibu haraka tujue jamaa yetu yiko wapi na nini kimemsibu maana tulitegemea msimu huu wa sikukuu angemuandalia tena show kama ile usiku wa 900 itapendeza
Ni kweli mkuuYule mzee ni mpuuzi sana.
Aliharibu taswira yake ghafla baada ya kujiingiza kwenye kampeni za kisiasa tena za kuisifia CCM. Hapo ndipo wabongo walipomtema ghafla. CCM ni laana na nuksi kubwa. Yule mzee ndio kajichimbia kaburi, hawezi kuibuka tena.
Umaarufu wake uliisha baada ya uchaguzi wa madiwani.Hapana chezea CCMHuyu jamaa yuko wapi mbona kapotea haraka kusikojulikana? Meneja wake atoe majibu haraka tujue jamaa yetu yiko wapi na nini kimemsibu maana tulitegemea msimu huu wa sikukuu angemuandalia tena show kama ile usiku wa 900 itapendeza
Taswira gani hiyo aliyokuwa nayo?Yule mzee ni mpuuzi sana.
Aliharibu taswira yake ghafla baada ya kujiingiza kwenye kampeni za kisiasa tena za kuisifia CCM. Hapo ndipo wabongo walipomtema ghafla. CCM ni laana na nuksi kubwa. Yule mzee ndio kajichimbia kaburi, hawezi kuibuka tena.
Naona kama kuna muendelezo (Pattern) fulani hivi. Yule msanii Marlaw alilalamika kwamba kushiriki kwake kwenye kampeni (CCM) kulimmaliza kisanii. Wanaume TMK msambaratiko wao ulianzia baada ya Kampeni za mwaka 2005.Amekwishatumika hivyo hahitajiki tena
Mlokole Shigongo?Nilipoona kashikwa mkono na yule aliyepewa chupa ya Maji na Zakhia Meghji nikajua basi tena.