Wapi/ Eneo gani kwa Dar wanapima madini na kujua aina yake?

Mkuu shukrani Sana! Nilifanikiwa kwenda hapo AMGC nimepata maelezo mazuri!! mambo yatakwenda poa
 
Biashara ya madini/mawe ni biashara yenye janjajanja sana.
Nenda kunduchi opp na gate la jeshi mbele kidogo utaona Bango Lao upande wa kulia kama unataka mjini
 
Budda ungesoma kidogo , jamaa alishaenda, amerudi na sasa ametoa Hadi mrejesho. Na alienda hapo unaposuggest Leo hii.
 
Biashara ya madini/mawe ni biashara yenye janjajanja sana.
Nenda kunduchi opp na gate la jeshi mbele kidogo utaona Bango Lao upande wa kulia kama unataka mjini
Yap yap Nilienda pale African Minerals and Geosciences centre(AMGC) Kunduchi!! ishu zilikwenda poa!! pale hakuna janja janja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…