Dah! bora umejitokeza father......mimi ni she nakumbuka na mwaka jana nilipata zawadi ya heleni..............karibu sana na mizawadi yako,tupo twaisubiri maana sikukuu ndo hiyoooo inapiga hodi!!!!!!!!!!!!!!!Makunga asante kwa kuniulizia baba noel wenu.....muda si mrefu nitawagawia mizawadi hadi wenyewe mchanganyikiwe...halafu wewe ni he au she........nauliza ili nijue zawadi itakayokufaa........... Kuhusu father-xmas kufulia hiyo haiwezekani....................