MM NINADEAL NAMAMBO YA UCHAPISHAJI HIVYO KARIBU KWA HUDUMA ZANGU NIKO MAGOMENI NIMEKUPM MKUUKwa muda mrefu sana nimekua nikitafuta mahali pa kupublish ama kuchapa kitabu changu kwa hapa Tanzania.
Natafuta wachapishaji (publishers)wazuri wa vitabu,nimeandika kitabu cha hadithi.
naomba msaada tafadhari.
Nimekusoma bosi wangu, nitachukua hatua kama ulivyonielekeza.MM NINADEAL NAMAMBO YA UCHAPISHAJI HIVYO KARIBU KWA HUDUMA ZANGU NIKO MAGOMENI NIMEKUPM MKUU