Wapi hapa Tanzania naweza kupata sehemu ya kuchapa kitabu changu

kendy

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
453
Reaction score
942
Kwa muda mrefu sana nimekua nikitafuta mahali pa kupublish ama kuchapa kitabu changu kwa hapa Tanzania.
Natafuta wachapishaji (publishers)wazuri wa vitabu,nimeandika kitabu cha hadithi.

Naomba msaada tafadhari.
 
Kwa muda mrefu sana nimekua nikitafuta mahali pa kupublish ama kuchapa kitabu changu kwa hapa Tanzania.
Natafuta wachapishaji (publishers)wazuri wa vitabu,nimeandika kitabu cha hadithi.
naomba msaada tafadhari.
MM NINADEAL NAMAMBO YA UCHAPISHAJI HIVYO KARIBU KWA HUDUMA ZANGU NIKO MAGOMENI NIMEKUPM MKUU
 
Huduma nzuri Nenda UDSM Mlimani Bei yao nzuri na kazi yao safi, ingawa lazima uwe na subira maaana wana kazi nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…