Wapi Hidaya wa Pepe Kalle?

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,425
Reaction score
4,768
Kwa wanaJF wakongwe hasa wale walioishi Arusha wanaweza kumkumbuka mwanamama HIDAYA (mwanamke wa kwanza kumiliki Toyota pajero ndani ya jiji la Arusha) aliyeimbwa na jitu la miraba minne PEPE KALE.

Naomba kwa wale wanaojua yuko wapi watujuze. I miss her so much!


Hidaya(kushoto) akiwa na mwanaye marehemu Leyla.
 
Arusha unazani kuna mambo ya kupagawisha, Hidaya hana lolote alimkalumanzila tu pepe kale
 
Hidaya kaolewa siku hizi ana watoto watatu wote wa kiume na bado anadai ile mbaya.
Huu wimbo ukiusikia angani basi lazima ujisikiesikie kushuka kwa dancing floor.

 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo hidaya alikuwa nyumba ndogo ya pepe kale?
 
Huyu mama si ndio yule alikuwa anakaa maeneo ya karibu na Sakina nilioneshwa Nyumba pembezoni mwa barabara na deal zake niliambiwa ni kuuza a.k.a alikuwa anamiliki Danguro. Alikuwa Dude dude
 
¶nimepoteza mpenzi wangu nchini Tanzania nitarudi nnitarudi kwa HIDAYA.....¶
but mpaka Leo hajarudi

Mkuu mbona alirudi!nakumbuka tulikuwa ndani ya uwanja wa shekh amri abeid wakati pepe kale 'amerudi'

Kabla ya kuimba wimbo huu mwanamama hidaya alienda kumvika joho la blue halafu jitu la miraba minne likaanza kuporomosha verse, nahisi pepe kale alikula tunda siku hiyo.

Pepe kale alitimiza ahadi ya kurudi kabla hajafa!! Enzi zetu hizi.
 
Yuko hapa Kaloleni Arusha. Amejizeekea ila bado anajipenda. Tuliwahi kwenda nyumbani kwake na shost angu ayelikuwa anatafuta nyumba ya kuishi ndo tukapelekwa hapo kwake na hakusita kujitambulisha kuwa yeye ndio hidaya pepe kale.
 
Huyu mama si ndio yule alikuwa anakaa maeneo ya karibu na Sakina nilioneshwa Nyumba pembezoni mwa barabara na deal zake niliambiwa ni kuuza a.k.a alikuwa anamiliki Danguro.... Alikuwa Dude dude

Pepe kalle alizama kwa malaya wa Ar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…