Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
Kwahiyo Pepe alikukaa kwa huyu mazaa?Hidaya huyo hapo na mwanae aliyeuwawa Uingereza.View attachment 916816
Du! Kumbe pepe kale alipata raha?? Ndio maana akisema mukanda ya kiunoOk, habari ya Leyla ilikuwa ya kusikitisha sana.
Nilivyosikia kama sijakosea huyu mama alimpa ride Joseph Kabaselle alipokuwa Arusha na baada ya hawakuonana tena
[emoji3][emoji3][emoji3]Du! Kumbe pepe kale alipata raha?? Ndio maana akisema mukanda ya kiuno
Joseph kabaselle ndo jina rasmi ya Pepe Kalle kiongozi wanguKabaselle ni nani mkuu?
Akimaanisha Shanga....HahahaaaDu! Kumbe pepe kale alipata raha?? Ndio maana akisema mukanda ya kiuno
Huo wimbo uweke hapa mkuu...wengine hatuujui!
Tanzia:
Tunasikitika kutangaza kifo Cha Hidaya Khamis Mtumwa (almaarufu hidaya Pepe kalee)
kilichotokea leo.
Marehemu ni Mtoto wa
Marehemu Mzee Khamis Mtumwa wa Bondeni. Marehemu ni Mdogo wake
Salma Khamis Mtumwa,
Zenab Khamis Mtumwa,
Nadhifa Khamis Mtumwa na
Ibrahim Khamis Mtumwa.
Marehemu pia ni Dada yake
Hassan Tea,
Juma Matara na
Muhammad Khamis.
Marehemu pia ni mama yake
Marehemu Leyla Mtumwa na
Kassongo Mtumwa.
Msiba uko nyumbani kwa marehemu Mtaa wa Kaloleni.
Tutajulishana taratibu za mazishi pindi tutakapopata ratiba kamili ya mazishi.
Innaa lillaahi wa Innaa Ilayhi raajiuun
Poleni sana na apumzike kwa amani bi Hidaya, it's painful na nilipata kufahamiana naye personally mid ninetees akiwa anashirikiana kibiashara na marehemu Martha.Tanzia:
Tunasikitika kutangaza kifo Cha Hidaya Khamis Mtumwa (almaarufu hidaya Pepe kalee)
kilichotokea leo.
Marehemu ni Mtoto wa
Marehemu Mzee Khamis Mtumwa wa Bondeni. Marehemu ni Mdogo wake
Salma Khamis Mtumwa,
Zenab Khamis Mtumwa,
Nadhifa Khamis Mtumwa na
Ibrahim Khamis Mtumwa.
Marehemu pia ni Dada yake
Hassan Tea,
Juma Matara na
Muhammad Khamis.
Marehemu pia ni mama yake
Marehemu Leyla Mtumwa na
Kassongo Mtumwa.
Msiba uko nyumbani kwa marehemu Mtaa wa Kaloleni.
Tutajulishana taratibu za mazishi pindi tutakapopata ratiba kamili ya mazishi.
Innaa lillaahi wa Innaa Ilayhi raajiuun
Walikuwa marafiki kama ilivyokuwa Michael Jackson kwa Elizabeth Taylor kwenye wimbo wa Liberian girlKwa hiyo hidaya alikuwa nyumba ndogo ya pepe kale?
Umepotea,upo?Huyu binti wa Hidaya anasikitisha alivyouwawa, kisa ni wivu tu?!
Kumbe kunaweza kuwa na bia aina ya cocacola? 🤣(mwanamke wa kwanza kumiliki Toyota pajero
Mkuu majina yao sahihi ni William Jelanji na Duncan Kandawile. Watangazani wengine wa RSA walikuwa ni Francis Chandiona na Boston Calleja Kaunda.Huo wimbo ulikuwa Sio mchezo. Fm radio hazikuwepo MWISHONI mwa miaka ya 80s. Tulisikiliza sana kupitia RSA/CHANNEL AFRIKA. WATANGAZAJI WILIAM NJELANJI&MOSES MKANDAWILE. ukitokea huo unafuata Jelah na Pia rogermiller. Hizi zilitangulia kabla ya kutoka Selina belaaa, mama na bela. Acha tu. Siku hz unahisi sana.
Hawa jamaaa wali kuwa wakisgiri ni vifaa tone 3 au zaidi. Siku hz CD tu halafu yet akasema tu oyoooo!!!
Huo wimbo uweke hapa mkuu...wengine hatuujui!