Wapi Hidaya wa Pepe Kalle?

Wapi Hidaya wa Pepe Kalle?

Huo wimbo ulikuwa Sio mchezo. Fm radio hazikuwepo MWISHONI mwa miaka ya 80s. Tulisikiliza sana kupitia RSA/CHANNEL AFRIKA. WATANGAZAJI WILIAM NJELANJI&MOSES MKANDAWILE. ukitokea huo unafuata Jelah na Pia rogermiller. Hizi zilitangulia kabla ya kutoka Selina belaaa, mama na bela. Acha tu. Siku hz unahisi sana.
Hawa jamaaa wali kuwa wakisgiri ni vifaa tone 3 au zaidi. Siku hz CD tu halafu yet akasema tu oyoooo!!!
 
Kwa mujibu wa mange anasema ni mwanamke wa kwanza kumiliki gari binafsi ya kutembelea jijini arusha
 
Tanzia:
Tunasikitika kutangaza kifo Cha Hidaya Khamis Mtumwa (almaarufu hidaya Pepe kalee)

kilichotokea leo.
Marehemu ni Mtoto wa
Marehemu Mzee Khamis Mtumwa wa Bondeni. Marehemu ni Mdogo wake
Salma Khamis Mtumwa,
Zenab Khamis Mtumwa,
Nadhifa Khamis Mtumwa na
Ibrahim Khamis Mtumwa.
Marehemu pia ni Dada yake
Hassan Tea,
Juma Matara na
Muhammad Khamis.
Marehemu pia ni mama yake
Marehemu Leyla Mtumwa na
Kassongo Mtumwa.

Msiba uko nyumbani kwa marehemu Mtaa wa Kaloleni.

Tutajulishana taratibu za mazishi pindi tutakapopata ratiba kamili ya mazishi.

Innaa lillaahi wa Innaa Ilayhi raajiuun
 
Poleni sana kwa Msiba ,
Mwenyezi Mungu akawe mfariji wenu katika kipindi hiki cha Majonzi.

Pumzika Hidaya ...kila nafsi itaonja mauti.
 
Tanzia:
Tunasikitika kutangaza kifo Cha Hidaya Khamis Mtumwa (almaarufu hidaya Pepe kalee)

kilichotokea leo.
Marehemu ni Mtoto wa
Marehemu Mzee Khamis Mtumwa wa Bondeni. Marehemu ni Mdogo wake
Salma Khamis Mtumwa,
Zenab Khamis Mtumwa,
Nadhifa Khamis Mtumwa na
Ibrahim Khamis Mtumwa.
Marehemu pia ni Dada yake
Hassan Tea,
Juma Matara na
Muhammad Khamis.
Marehemu pia ni mama yake
Marehemu Leyla Mtumwa na
Kassongo Mtumwa.

Msiba uko nyumbani kwa marehemu Mtaa wa Kaloleni.

Tutajulishana taratibu za mazishi pindi tutakapopata ratiba kamili ya mazishi.

Innaa lillaahi wa Innaa Ilayhi raajiuun
Poleni sana na apumzike kwa amani bi Hidaya, it's painful na nilipata kufahamiana naye personally mid ninetees akiwa anashirikiana kibiashara na marehemu Martha.
 
Huo wimbo ulikuwa Sio mchezo. Fm radio hazikuwepo MWISHONI mwa miaka ya 80s. Tulisikiliza sana kupitia RSA/CHANNEL AFRIKA. WATANGAZAJI WILIAM NJELANJI&MOSES MKANDAWILE. ukitokea huo unafuata Jelah na Pia rogermiller. Hizi zilitangulia kabla ya kutoka Selina belaaa, mama na bela. Acha tu. Siku hz unahisi sana.
Hawa jamaaa wali kuwa wakisgiri ni vifaa tone 3 au zaidi. Siku hz CD tu halafu yet akasema tu oyoooo!!!
Mkuu majina yao sahihi ni William Jelanji na Duncan Kandawile. Watangazani wengine wa RSA walikuwa ni Francis Chandiona na Boston Calleja Kaunda.
 
Huo wimbo uweke hapa mkuu...wengine hatuujui!
Screenshot_20210721-083412.png

Mutu za Jamii forum aisee
 
Back
Top Bottom