Wapi huwekwa funguo ya pili ya gari ? (Second ignition key)

decomm

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
726
Reaction score
666
Habari?

Sina hakika kama kuna uzi unao elezea hili.

Magari haya tunayo tununua kutoka Japan nk. Mara nyingi huwa tunakuta funguo maja tu.

Lakini naamini kuna mahali funguo ya pili huwekwa / hufichwa ili atakaye inunua aje aikute hapo.

Swali: Je ni wapi huwa wanaziweka / kuzificha / kuzihifadhi?

Mwenye kujuwa tafadhali atufahamishe.

Naomba kiwasilisha.
-----
D.
 
Kwanini ufichiwe? Gari zote mbona tunapata na funguo mbili..!!!
 
Habari?

Sina hakika kama kuna uzi unao elezea hili.

Magari haya tunayo tununua kutoka Japan nk. Mara nyingi huwa tunakuta funguo maja tu.

Lakini naamini kuna mahali funguo ya pili huwekwa / hufichwa ili atakaye inunua aje aikute hapo.

Swali: Je ni wapi huwa wanaziweka / kuzificha / kuzihifadhi?

Mwenye kujuwa tafadhali atufahamishe.

Naomba kiwasilisha.
-----
D.

Ni kweli huwa kuna mda wanaficha ingawa sijafanya utafiti sana maana kuna kipindi niliwahi kuta funguo kwenye gari aina ya premio kwenye cabinet ya upande wa kushoto kwenye dashboard siti ya mbele. Tuliitoa ile cabinet tukakuta funguo imewekwa pale kwa gundi kabsa
 
Nimefurahi kuwa nawe unajuwa hili.
Nafikiri kila aina ya gari wana namna yao ya kuihifadhi hiyo funguo ya pili (kwa gari used kutoka Japan)

Wanao kata magaribwanaweza kushuhudia jambo hili.

Kama kuna utaratibu maalum wa kuiweka hiyo funguo ndiyo nilikiwa nataka kujulishwa.
 
Back
Top Bottom