Wapi John Dilinga Matlou

dah kweli wewe unakumbukumbu kali....je unamkumbuka SOS B?

Sos B yupo Dar anapiga kazi kwenye shipping line company moja pale Nasaco House. Ana kipisi cha bangaloo pande za Kimara na ndiye mmiliki wa Ckub le Mambo pande za kule Mabibo hostel. Au na hii mnahitaji source.

Mdau ulikuwepo enzi za Meja na Kisamo au? Enzi hizo asubuhi tukipiga chai na skonzi za nguvu. Wagumu tulikuwa tunachukua dishi la sconz tunakimbilia Jangwani. Watoto wa Oysterbay na Masaki walikuwa wakiona aibu kuvuka fence kuingia upande wa kina dada wa jangwani sec. Basi mtajikuta dish la sconz 40 mnakula watu 4! Utoto nuksi!.

Fred Nyantori aliwahi kutangaza kidogo Radio one na sauti yake ilikuwa na punch ya nguvu hasa kwenye chombeza time sijui kwanini akaamua kuzama kwenye u cameraman kwenye ma Tv stations! Anyway yote maisha!
Siri ya Macameraman ni Kuingia kwenye sherehe zote za serikali so huwa wanapewa kuanzia chai hadi luch so misosi ya goverment huwa ni noma sasa jamaa kaona ajimuvuzishe huko aweke afya fresh.. Atakuwa anapenda kula sana huyo

Kweli jamaa alikuwa noma! Nakumbuka enzi zake kila mtaa DJ JD!!

Nakumbuka Jamaa alikuwa na kipindi pale 101.4 FM kilikuwa around saa tatu enzi hizo masista duu wa shabaan robert na mzizima walikuwa wanapiga cm sana na wanatema yai la kufa mtu,alianzisha Flavor 120,akaja na The Heat alikuwa yupo na mwenzake SOS B,kuna kipindi alikuwa nacho pale radio one cha love story then akaja East Africa Radio na The Crewz

Kupata radha yake ebu pitia hiyo link chini ukumbuke alikuwa akimuhoji Balozi Dollar Soul:

[video]http://www.eastafricantube.com/media/3327/Balozi_Dola_interview_with_DJ_JD-East_Africa_FM/[/video]

kuna wakati alikuwa times fm na ana kipindi chake mida ya jioni, timesfm.co.tz tahadhari huu mtandao wao una virusi ukitaka kuwapata nenda ingia google andika timesfm 100.5 u streem.sina hakika kama bado yupo ila naelewa alisaini mkataba na times kuendesha hicho kipindi cha jioni.

Comment by Bob Sambeke on December 19th, 2008 1:09 pm
Hi BC!
Kwanza napenda kukupongeza kwa kuweka hii section ya kutoa maoni ni Dj yupi tunamkuwali wa sasa au wa zamani!
E bwana BC! The Best Dj Ever na hatatokea kuwepo kama! The Best DJ in East Africa,DJ J to The D.E bwana huyu dj anakipaji cha u-dj na co ma-dj wetu hawa wanapiga kwa sababu ya maisha waweze kujimudu! Huyu Dj akiwepo kwenye kipindi utapenda umckilize hadi mwisho! Ebu check Alipopita
1.Radio One.
~kipindi flani hivi cha usiku mambo ya Love story nadhani ambao mnakumbika mambo ya story ya kulwa na dotto mtakuwa mmenipata kilijijengea umaarufu sana!
~Kipindi flani hivi walikuwa na m2 mzima SOS B! Kipindi chenyewe kama Mnakumbuka Kinaitwa "The Heat" Kilikuwa bomba Kinyama! Yani BC umenikumbusha mbali yani mpaka nataka Kulia
~Flavor 120,kawaachia Kina Kwafujo-Abubakary Sadick
2.101.4 FM-Hii Nadhani masista Duu wa Mzizima na shabaan Robert wa Enzi hizo mnakumbuka kipindi hichi nadhani mlikuwa mnapiga cm sana,kilikuwa kipindi kinaanza kama saa 3 au 4,kilikuwa kipindi cha kutoa shout out na kuchagua nyimbo(yai tupu).
3.ITV-2….Kipindi cha magoma ya mbele na kuwaoji baadhi ya wasanii E bwana c mchezo yani nakumbuka mbali sanaaa!
4.East African Radio….The Crewz Mnakumbuka Jamani wadau!
Ambapo hadi prof.Jay akakwambia Umarufu wa Bongo Adi chesko mzee wa Matunda naye maarufu! Nakumbuka sana chesko mzee wa matunda alikuwa anapiga cm sana! Jamani Embu semeni kipindi cha the crewz kikiianza kama DJ JD hayupo utajua tu kwa milazo itakuwa hakuna kabisa
5.Radio Uhuru……JD 14-16..jamani mnakumbuka kipindi hichi cha magoma ya kufa m2
E bwana Nimekumbuka mbali sana John Dillinga Matloue(DJ JD) Ni DJ ambaye Namzimia kuliko Ma-Dj wote Duniani akiwepo Yeye mtamboni hata cpanduki even microseconds kwani ntakuwa nimemiss mambo kibao! cjui sasa hiv yuko wapi? movement za maisha.Leo Huko huku kwa wala Vumbi(TZ) kesho mara kwa Wabeba Box(Majuu) kwahyo upati mda wa kujua mtaalamu yupo wapi.BC Ebu Fanya nae Interview tuweze Kujua anafanya nini DJ wa Kimataifa!
Kuna MDAU kanikumbusha DJ HABIB 101.4 FM Da Kipindi hicho ilikuwa raha sana yani utamu kweli lakini sasa ma-dj wengi famba wakiweza kucheza na virtual dj au trackor tu na wao ma-dj wanatafuta american audio na kujiita ma-dj
DJ ni Mmoja tu JOHN DILLINGA MATLOUE(DJ DJ).Jamani haya Ni Maoni Yangu Msikasirike washkaji Haya mawazo tu! Ni MTAZAMO TU!

Read more: WHO IS YOUR BEST DJ? - BongoCelebrity

Comment by Bob Sambeke on December 19th, 2008 1:09 pm
Hi BC!
Kwanza napenda kukupongeza kwa kuweka hii section ya kutoa maoni ni Dj yupi tunamkuwali wa sasa au wa zamani!
E bwana BC! The Best Dj Ever na hatatokea kuwepo kama! The Best DJ in East Africa,DJ J to The D.E bwana huyu dj anakipaji cha u-dj na co ma-dj wetu hawa wanapiga kwa sababu ya maisha waweze kujimudu! Huyu Dj akiwepo kwenye kipindi utapenda umckilize hadi mwisho! Ebu check Alipopita
1.Radio One.
~kipindi flani hivi cha usiku mambo ya Love story nadhani ambao mnakumbika mambo ya story ya kulwa na dotto mtakuwa mmenipata kilijijengea umaarufu sana!
~Kipindi flani hivi walikuwa na m2 mzima SOS B! Kipindi chenyewe kama Mnakumbuka Kinaitwa “The Heat” Kilikuwa bomba Kinyama! Yani BC umenikumbusha mbali yani mpaka nataka Kulia
~Flavor 120,kawaachia Kina Kwafujo-Abubakary Sadick
2.101.4 FM-Hii Nadhani masista Duu wa Mzizima na shabaan Robert wa Enzi hizo mnakumbuka kipindi hichi nadhani mlikuwa mnapiga cm sana,kilikuwa kipindi kinaanza kama saa 3 au 4,kilikuwa kipindi cha kutoa shout out na kuchagua nyimbo(yai tupu).
3.ITV-2….Kipindi cha magoma ya mbele na kuwaoji baadhi ya wasanii E bwana c mchezo yani nakumbuka mbali sanaaa!
4.East African Radio….The Crewz Mnakumbuka Jamani wadau!
Ambapo hadi prof.Jay akakwambia Umarufu wa Bongo Adi chesko mzee wa Matunda naye maarufu! Nakumbuka sana chesko mzee wa matunda alikuwa anapiga cm sana! Jamani Embu semeni kipindi cha the crewz kikiianza kama DJ JD hayupo utajua tu kwa milazo itakuwa hakuna kabisa
5.Radio Uhuru……JD 14-16..jamani mnakumbuka kipindi hichi cha magoma ya kufa m2
E bwana Nimekumbuka mbali sana John Dillinga Matloue(DJ JD) Ni DJ ambaye Namzimia kuliko Ma-Dj wote Duniani akiwepo Yeye mtamboni hata cpanduki even microseconds kwani ntakuwa nimemiss mambo kibao! cjui sasa hiv yuko wapi? movement za maisha.Leo Huko huku kwa wala Vumbi(TZ) kesho mara kwa Wabeba Box(Majuu) kwahyo upati mda wa kujua mtaalamu yupo wapi.BC Ebu Fanya nae Interview tuweze Kujua anafanya nini DJ wa Kimataifa!
Kuna MDAU kanikumbusha DJ HABIB 101.4 FM Da Kipindi hicho ilikuwa raha sana yani utamu kweli lakini sasa ma-dj wengi famba wakiweza kucheza na virtual dj au trackor tu na wao ma-dj wanatafuta american audio na kujiita ma-dj
DJ ni Mmoja tu JOHN DILLINGA MATLOUE(DJ DJ).Jamani haya Ni Maoni Yangu Msikasirike washkaji Haya mawazo tu! Ni MTAZAMO TU!

Read more: WHO IS YOUR BEST DJ? - BongoCelebrity

Nakumbuka ile Beat iliyokua ikiendesha kipindi cha "the heat" niliirekodi nikawa naiskiliza somtyms.
"JD & Sos B, in the full faith moon"
One day wakati wa kipindi kikiendelea na Beat yake kama kawaida, Sos B aka-suprise kwa kuingizia verse zake za Kukuru Kakara Zako kwenye hiyo Beat,
Kisha JD akaja akampokea kwa Ragga Muffin la hali ya juu.
Ilikua ni Colabo la watangazaji hapohapo studio, but kama wangerekodi hiyo ngoma ingebamba sana.

na mfano ni Latifa ya Mb dog ambayo radio zote madj waligoma kuipiga wakiiona chai tu mpaka alipoanza kuipiga kwa mixing kali ndo mb dog akaanza kutafutwa apeleke single yake na madj wakasahau walishapelekewa ila ipo kapuni!

"Si Uliniambia kama waja, Man Dog man nakungoja"
Huu nao aliufanyia remix kwa kuwashirikisha Yakuzza Mob ambayo ilibamba nayo sana tu.
Nakumbuka kipindi chake cha
"John 14-16" (soma kwa kimombo) kilivyokua kinabamba, na ndicho alichotumia kuwa-promote wasanii wachanga lakini wakali kama MB-Dog wa enzi hizo, ilikua sikikosi.

Fikiria hii ratiba,mchana anakuwa kwenye The heat radio one,ucku w'end party show 101.4fm hadi saa tano then club bilicanus hadi majogoo alafu anaamkia radio one kipindi cha mtaa wa mangoma! Alafu kote anakimbiza!

That is love for the music man
huwezi kimbiza zote kwa speed ile ile kama huipendi kazi yako
John rudi bwana... we miss u

ranking za JD ni sawa na kina dj pinyee, wote wakali, na wanajua music kikweli kweli, achana na hawa wasiku hz ambao kutwa ni kucheza nyimbo za billboard peke yake.
Hawa jamaa wanaweza kuchimbua track ambayo hujawahi hata kusikia, na ukatokea kuipenda

Dah! Aza boys walikuwa balaa! Umenikumbusha mbali sana mkuu

Jamani kama kuna mwenye contacts zake aweke hapa tuwasiliane nae aje abeep hapa kwenye madisco yetu ya Arusha. Maana hawa ma DJ wetu ni utumboooooooooooooo mtupu utasikia eti DJ ana rap anasema " JAMANI KIMAROOOOOOOOOOOOO, KIMARO KWA MBEGEEEEEEEEEEEEE. Yani ni utumbo hata madisco hayana raha tena.

Hahahahaha! Hii kali ya mwaka!

DJ JD nakumbuka alichangia sana Prof Jay kupata umaarufu.Mara ya kwanza kuitambulisha nyimbo ya Ndio Mzee ,DJ JD aliweka nakshi nyingi sana na kumpamba sana Prof Jay ambapo watu walifikiri kuwa alibahatisha kwenye ngoma ya Chemsha Bongo.Nakumbuka ilikuwa siku ya Ijumaa "The Heat " kama kawa.Ilivyobaki dk nne kipindi kuisha jamaa akaiachia ngoma.
Ndio maana kipindi na DJ JD alipotofautiana kimtazamo na Prof,Kitendo kile kilimuumiza sana DJ JD akatamka waziwazi hadharani kuwa hakupendezwa naye.Ila nadhani waliyamaliza coz Prof naye ni mtu wa kujua anakotoka na aendako.
DJ JD ni zaidi ya DJ .

Nakumbuka DJ JD alichangia sana kulipaisha kama siyo kuliasisihili jina la professor J,alikuwa kila akigonga ngoma yake anasema "mimi namuita professor J"( by then alikuwa bado anajiita nigga J)

Ramnkin Ramadhan alikuwa Mtoto wa Kibopa Fulani na Alikuwa Sauti Nzito nzito ya ''Kilevi'' U ahmada ulimtoa kwenye fani [/QUOTE said:
Alikuwa ni mtoto wa Ramadhani Nyamka...(mwenyekiti wa CCM-Mkoa wa DSM In those days)

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…