Comment by Bob Sambeke on December 19th, 2008 1:09 pm
Hi BC!
Kwanza napenda kukupongeza kwa kuweka hii section ya kutoa maoni ni Dj yupi tunamkuwali wa sasa au wa zamani!
E bwana BC! The Best Dj Ever na hatatokea kuwepo kama! The Best DJ in East Africa,DJ J to The D.E bwana huyu dj anakipaji cha u-dj na co ma-dj wetu hawa wanapiga kwa sababu ya maisha waweze kujimudu! Huyu Dj akiwepo kwenye kipindi utapenda umckilize hadi mwisho! Ebu check Alipopita
1.Radio One.
~kipindi flani hivi cha usiku mambo ya Love story nadhani ambao mnakumbika mambo ya story ya kulwa na dotto mtakuwa mmenipata kilijijengea umaarufu sana!
~Kipindi flani hivi walikuwa na m2 mzima SOS B! Kipindi chenyewe kama Mnakumbuka Kinaitwa "The Heat" Kilikuwa bomba Kinyama! Yani BC umenikumbusha mbali yani mpaka nataka Kulia
~Flavor 120,kawaachia Kina Kwafujo-Abubakary Sadick
2.101.4 FM-Hii Nadhani masista Duu wa Mzizima na shabaan Robert wa Enzi hizo mnakumbuka kipindi hichi nadhani mlikuwa mnapiga cm sana,kilikuwa kipindi kinaanza kama saa 3 au 4,kilikuwa kipindi cha kutoa shout out na kuchagua nyimbo(yai tupu).
3.ITV-2….Kipindi cha magoma ya mbele na kuwaoji baadhi ya wasanii E bwana c mchezo yani nakumbuka mbali sanaaa!
4.East African Radio….The Crewz Mnakumbuka Jamani wadau!
Ambapo hadi prof.Jay akakwambia Umarufu wa Bongo Adi chesko mzee wa Matunda naye maarufu! Nakumbuka sana chesko mzee wa matunda alikuwa anapiga cm sana! Jamani Embu semeni kipindi cha the crewz kikiianza kama DJ JD hayupo utajua tu kwa milazo itakuwa hakuna kabisa
5.Radio Uhuru……JD 14-16..jamani mnakumbuka kipindi hichi cha magoma ya kufa m2
E bwana Nimekumbuka mbali sana John Dillinga Matloue(DJ JD) Ni DJ ambaye Namzimia kuliko Ma-Dj wote Duniani akiwepo Yeye mtamboni hata cpanduki even microseconds kwani ntakuwa nimemiss mambo kibao! cjui sasa hiv yuko wapi? movement za maisha.Leo Huko huku kwa wala Vumbi(TZ) kesho mara kwa Wabeba Box(Majuu) kwahyo upati mda wa kujua mtaalamu yupo wapi.BC Ebu Fanya nae Interview tuweze Kujua anafanya nini DJ wa Kimataifa!
Kuna MDAU kanikumbusha DJ HABIB 101.4 FM Da Kipindi hicho ilikuwa raha sana yani utamu kweli lakini sasa ma-dj wengi famba wakiweza kucheza na virtual dj au trackor tu na wao ma-dj wanatafuta american audio na kujiita ma-dj
DJ ni Mmoja tu JOHN DILLINGA MATLOUE(DJ DJ).Jamani haya Ni Maoni Yangu Msikasirike washkaji Haya mawazo tu! Ni MTAZAMO TU!
Read more:
WHO IS YOUR BEST DJ? - BongoCelebrity