Wapi kuna fundi mzuri wa magari ya Nissan?

Wapi kuna fundi mzuri wa magari ya Nissan?

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Jamani leo asubuhi nimeona jambo la ajabu kwenye gari yangu

Pale kwenye top cover Kuna vuja oil ambayo inaenda kuungua chini na kutoa Moshi mwingi Sana

So please wandugu kama kuna mtu anajua fundi mzuri wa hizi Nissan teana au gereji mzuri naomba connection
 
Uko mkoani gani ili uelekezwe kwa fundi,
Kqma oil inavuja kwenye top cover ya cylinder head, hiyo ni kazi ndogo sana kwa fundi anayeijua kazi yake....
Atabadilisha hizo seals za top cover maisha yanaendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom