Wapi kuna GYM Kimara Mwisho

f_m

Member
Joined
Sep 19, 2017
Posts
58
Reaction score
35
Wadau nauliza wapi ntapata GYM ya mazoezi maeneo ya KIMARA mwisho karibu na stend ya mwendo kasi...asante
 
Ukikoxa kimara mwixho njoo baruti hapa xheli ipo mara nying nikipita huwa naona watu wanajenga mwili
 
Reactions: f_m
Nenda pale kimara baruti kwenye kile kituo cha mafuta cha Puma
 
Nenda baruti kama walivyosema wadau mkuu unataka kujenga nini?
 
Reactions: f_m
Wadau nauliza wapi ntapata GYM ya mazoezi maeneo ya KIMARA mwisho karibu na stend ya mwendo kasi...asante
Mkuu naomba unijuze kama ulipata gym hapa Kimara mwisho ili nijiunge
 
😝😝 Daaaah aseeeeh umeulizwa gym kimara wewe unakuja na habari ya Tegeta
Sorry,nilikuwa nataka kumaanisha maeneo ya Tegeta gym inapatikana wapi,nilipitia mgongo wa mtoa uzi nami nipate jibu kwani nataka kuhamia maeneo hayo
 
mchagua kaonaaa pumba kasEpaaaa
paleee malipomkuu kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…