Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahama mama ,Puma.Asante
Mkuu naomba unijuze kama ulipata gym hapa Kimara mwisho ili nijiungeWadau nauliza wapi ntapata GYM ya mazoezi maeneo ya KIMARA mwisho karibu na stend ya mwendo kasi...asante
Miss Natafuta hii dharau kwa ndugu zangu wa kichaga imeanza lini? 😫 😫 😫 😫wachaga na gym wapi na wapi mkuu?
😝😝 Daaaah aseeeeh umeulizwa gym kimara wewe unakuja na habari ya TegetaTegeta kuna gym?
Sorry,nilikuwa nataka kumaanisha maeneo ya Tegeta gym inapatikana wapi,nilipitia mgongo wa mtoa uzi nami nipate jibu kwani nataka kuhamia maeneo hayo😝😝 Daaaah aseeeeh umeulizwa gym kimara wewe unakuja na habari ya Tegeta