GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
-
- #21
Sahihi kabisa mkuu. Niliambiwa ya bei hiyo ni mapori ambayo hayajawahi kulimwa.Sema naamini hilo shamba la 150K ni lile lenye miti miti kwa hiyo utahitaji kuiondoa, wenyeji watakuja kuongezea
Lupembe! Nashukuru sana mkuu. Ndilo "jina" nililokuwa nalitafuta. Lilikuwa limenitoka. LUPEMBE!Lupembe huko huko kabla haujafika barazani Kata Kona ingia ndani Kuna maeneo mazuri sana bei ni poa kinachonikera mda wote ni baridi na vumbi pia maeneo ya huko karibu mwakani naanza kuvuna parachichi
Mahali yalipo mashamba nayayajua ni kama km 15 toka barabara kuu Njombe to songea..kijiji cha Ngalanga. Ekari sh 500,000 zipo 100. Kuna mto karibu hivyo mwekezaji anaweza tumia mda woteHabarini watu wa Njombe, nchi iliyosheheni "asali" na "maziwa"!
Mwanzoni mwa mwaka huu nilifanya ziara mkoani Njombe, ziara ambayo ilinifungua macho kuhusu "utajiri" uliopo Njombe.
Katika hiyo ziara, nilibaini kuwa mashamba si ghali kwenye hiyo "nchi". Maeneo jirani na mijini ekari moja ni kama milioni moja na laki mbili, nje kidogo ya mji ni kama laki tano hivi, na vijijini mbali na mji (sikufika) nilimbiwa kuna "mashamba pori" yanayouzwa sh 150,000/= kwa ekari.
Wenyeji wangu walinionya nisiende kutafuta mashamba vijiji vya mbali kwa sababu barabara si nzuri ( lakini inapitika).
Mimi nimepalenga huko huko wanakodai hapafai. Patanifaa sana! Naamini ubovu wa barabara si wa kudumu.
Nimesahau majina ya hivyo vijiji, lakini nafikiri nauli ni kama shilingi elfu nne hadi nane kutokea Njombe mjini!
Mnaweza kunikumbisha majina ya hivyo vijiji?
Asanteni!!!
Ukipata mkuu nishtueHabarini watu wa Njombe, nchi iliyosheheni "asali" na "maziwa"!
Mwanzoni mwa mwaka huu nilifanya ziara mkoani Njombe, ziara ambayo ilinifungua macho kuhusu "utajiri" uliopo Njombe.
Katika hiyo ziara, nilibaini kuwa mashamba si ghali kwenye hiyo "nchi". Maeneo jirani na mijini ekari moja ni kama milioni moja na laki mbili, nje kidogo ya mji ni kama laki tano hivi, na vijijini mbali na mji (sikufika) nilimbiwa kuna "mashamba pori" yanayouzwa sh 150,000/= kwa ekari.
Wenyeji wangu walinionya nisiende kutafuta mashamba vijiji vya mbali kwa sababu barabara si nzuri ( lakini inapitika).
Mimi nimepalenga huko huko wanakodai hapafai. Patanifaa sana! Naamini ubovu wa barabara si wa kudumu.
Nimesahau majina ya hivyo vijiji, lakini nafikiri nauli ni kama shilingi elfu nne hadi nane kutokea Njombe mjini!
Mnaweza kunikumbisha majina ya hivyo vijiji?
Asanteni!!!
Hilo ambalo halijawahi kulimwa ndilo lina nifaa kwakweli, nikuomba Mungu yapatakine.Sahihi kabisa mkuu. Niliambiwa ya bei hiyo ni mapori ambayo hayajawahi kulimwa.
Miaka ya 2016 huko kisarawe pwani vijijini walikuwa wanataka 10,000 tu unakatiwa heka50 zako za pori unafyeka mwenyewAcha kukatisha watu tamaa
Mkoa wa pwani tu jirani kabisa na d as salaam hapa ukiwa na laki tano unapata shamba tena heka nzima
Huko unaposema inawezekana kuna maeneo unajifekea tu pori unaendelea na maisha
Asante mkuuLupembe barazani, Kanikelele, Kitole, Nyave, Isoliwaya, Igombola, lwafi na Image.
Ninalosema nalielewa atauziwa mashamba ambayo ni mbuga yana udongo mweupe na mfinyanzi ilo shamba inatakiwa ulifanyie rehabilitation si chini ya miaka 3 ili mazao yaanze kukubali na tunavyozungumza ninatoka uko nitaweka picha hapa kama kesho watu waone utofauti wa mashamba ya kilimo na mbugaAcha kukatisha watu tamaa
Mkoa wa pwani tu jirani kabisa na d as salaam hapa ukiwa na laki tano unapata shamba tena heka nzima
Huko unaposema inawezekana kuna maeneo unajifekea tu pori unaendelea na maisha
Hili eneo ni la kijiji au watu binafsiMahali yalipo mashamba nayayajua ni kama km 15 toka barabara kuu Njombe to songea..kijiji cha Ngalanga. Ekari sh 500,000 zipo 100. Kuna mto karibu hivyo mwekezaji anaweza tumia mda wote
Asante kwa elimu mkuu, usisahau kutuwekea mapichaNinalosema nalielewa atauziwa mashamba ambayo ni mbuga yana udongo mweupe na mfinyanzi ilo shamba inatakiwa ulifanyie rehabilitation si chini ya miaka 3 ili mazao yaanze kukubali na tunavyozungumza ninatoka uko nitaweka picha hapa kama kesho watu waone utofauti wa mashamba ya kilimo na mbuga
Truth is ugly, people what to hear what they what to hear. So goodluck with that.Acha kukatisha watu tamaa
Mkoa wa pwani tu jirani kabisa na d as salaam hapa ukiwa na laki tano unapata shamba tena heka nzima
Huko unaposema inawezekana kuna maeneo unajifekea tu pori unaendelea na maisha
Binafsi na ni letuHili eneo ni la kijiji au watu binafsi
Jambo jema nimefika mitaa hiyo kama njoomlole, mfalanyaki, mjimwema, bombambili na n.kBinafsi na ni letu
Binafsi na ni letu
Nipo nimejaa tele, asante kwa kunikumbuka. Mashamba makubwa ya bei hizo yapo.Hongera Kwa uthubutu,mcheki Malila bwana shamba mkongwe
Nipo humuNashukuru sana mkuu!
Anapatikana wapi?
Mashamba Lupembe vijiji vya Nyave, Mfiriga, Ikang`asi, Itambo na Madeke yapo kwa bei hizo za 150,000/ mpaka chini ya hapo. Wastani ni 100km toka mjini Njombe mpaka maeneo hayo niliyokutajia.Ndugu ukifanikiwa nakuomba sana unijulishe na mimi tafadhali, huko mbali ndio kuzuri sasa.
Ninasema mashamba Lupembe yapoWatu wa Njombe mmegoma kutoa muongozo,sema tupo tunaskilizia.