Katika kijiji nilipo kule Lupembe, kuna eka zaidi ya 2000 zinauzwa na watu tofauti, mashamba haya nilishiriki kuyapima na kuyanunua, project yetu ya awali ilikuwa miti ya mbao, janga la moto lilikatisha watu tamaa sana wamekimbia na sasa wanauza ardhi kwa wengine.Usiseme hivyo mkuu! Penye nia pana njia. Muhimu ni uvumilivu na kuwa na muda wa kutosha "kupeleleza"
Niliambiwa na zaidi ya watu wawili wa Njombe kuwa kuna "mapori" yanayouzwa shilingi laki moja na hamsini vijiji vya mbali. Walioniambia ni watu wa kuaminika, mmoja wao ni "bilionea" wa maparachichi.
Ukienda vijiji kama Vikumbulu, hadi buku 50 unakatiwa pori, changamoto ya Vikumbulu au Chore au Mloka/Mkamba ni maji, na sasa wamekuja wafugaji holela. Maji ni kikwazo.Acha kukatisha watu tamaa
Mkoa wa pwani tu jirani kabisa na d as salaam hapa ukiwa na laki tano unapata shamba tena heka nzima
Huko unaposema inawezekana kuna maeneo unajifekea tu pori unaendelea na maisha
Nyave ni grassland, hakuna miti.Sahihi kabisa mkuu. Niliambiwa ya bei hiyo ni mapori ambayo hayajawahi kulimwa.
Tsh 10,000/ ila ukienda mpaka Ukalawa au Madeke au Ikondo andaa 13,000/Lupembe! Nashukuru sana mkuu. Ndilo "jina" nililokuwa nalitafuta. Lilikuwa limenitoka. LUPEMBE!
Nauli ni shilingi ngapi kutokea mjini hadi Lupembe?
Ngalanga sawa, bei imechangamka sana, hata Igawisenga bei iko juu au Mgala bei iko juu sababu ni barabaraniMahali yalipo mashamba nayayajua ni kama km 15 toka barabara kuu Njombe to songea..kijiji cha Ngalanga. Ekari sh 500,000 zipo 100. Kuna mto karibu hivyo mwekezaji anaweza tumia mda wote
Yapo, na mimi nipo huko, tuwasiliane tuUkipata mkuu nishtue
Njombe>Makete>Bulongwa nauli ni Tsh ngapi mkuu?Tsh 10,000/ ila ukienda mpaka Ukalawa au Madeke au Ikondo andaa 13,000/
Mi nipo Nyave na IkondoLupembe barazani, Kanikelele, Kitole, Nyave, Isoliwaya, Igombola, lwafi na Image.
Nakuletea taarifa soonNjombe>Makete>Bulongwa nauli ni Tsh ngapi mkuu?
Bus la moja kwa moja Njombe Bulongwa ni Tsh 10,000/ ila ukishukia Makete na upande tena kwenda Bulongwa ni Tsh 11,000/Njombe>Makete>Bulongwa nauli ni Tsh ngapi mkuu?
Asante mkuuBus la moja kwa moja Njombe Bulongwa ni Tsh 10,000/ ila ukishukia Makete na upande tena kwenda Bulongwa ni Tsh 11,000/
Ni maeneo ya wapiYapo, na mimi nipo huko, tuwasiliane tu
Kaka njombe mzima hakuna iyo bei uyo nemes asikudanganyeUsiseme hivyo mkuu! Penye nia pana njia. Muhimu ni uvumilivu na kuwa na muda wa kutosha "kupeleleza"
Niliambiwa na zaidi ya watu wawili wa Njombe kuwa kuna "mapori" yanayouzwa shilingi laki moja na hamsini vijiji vya mbali. Walioniambia ni watu wa kuaminika, mmoja wao ni "bilionea" wa maparachichi.
Kwasasa Maeneo mengi ya Niombe wilayani huko hata ndani ndani bei ni ghali kutokana na ardhi nyingi kuwa na rutuba nzuri na ya asili, pia potential sana kwa kilimo cha mazao yanayoshika soko kama parachichi, viazi na uwekezaji ktk miti. Kama muhitaji kweli changamkieni maeneo yanayouzwa kwasasa huenda miaka michache ijayo bei zitazidi kupanda. Hukawii kusikia maeneo yana chuma!!!Kaka njombe mzima hakuna iyo bei uyo nemes asikudanganye
Siyo kweli mkuu, kama una hela sasa hivi nakupa eka za kutosha kwa Tsh 150,000/ Njombe kijiji cha Nyave. Za kutosha kweli.Kaka njombe mzima hakuna iyo bei uyo nemes asikudanganye
Nadhani maeneo ya madeke kama unaenda ifakara kilometa 40 kutoka NjombeUsiseme hivyo mkuu! Penye nia pana njia. Muhimu ni uvumilivu na kuwa na muda wa kutosha "kupeleleza"
Niliambiwa na zaidi ya watu wawili wa Njombe kuwa kuna "mapori" yanayouzwa shilingi laki moja na hamsini vijiji vya mbali. Walioniambia ni watu wa kuaminika, mmoja wao ni "bilionea" wa maparachichi.
Ni km ngapi kutoka njombe mjiniSiyo kweli mkuu, kama una hela sasa hivi nakupa eka za kutosha kwa Tsh 150,000/ Njombe kijiji cha Nyave. Za kutosha kweli.
Nataka ekari 100K
Ni km ngapi kutoka njombe mjini
Ni 100km toka Njombe mjini mpaka Nyave kijijini.K
Ni km ngapi kutoka njombe mjini