Imo kwenye dumu la lita 20.Unauza bei Gani Kwa ujazo gani
Kama ulijua kuna inbox kwa nn umetuletea tangazo hapaImo kwenye dumu la lita 20.
Ni karibu kg.30.
Bei karibu inbox.
China au ofisi ya rais. Ila lazima iwe zaidi ya lita 100Nina asali. Nahitaji kufahamu wapi kuliko na soko zuri nchini kwetu. Soko laweza kuwa ndani au nje ya nchi.
Asali ipo Manyoni.