Wapi kuna soko zuri la asali

Wapi kuna soko zuri la asali

DENAMWE

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2019
Posts
862
Reaction score
871
Nina asali. Nahitaji kufahamu wapi kuliko na soko zuri nchini kwetu. Soko laweza kuwa ndani au nje ya nchi.

Asali ipo Manyoni.
 
hivi wafanyabiashara mnaona ugumu gani kuweka bei hadharani, jiamini, amini na bidhaa yako, najua humu jf ni soko lako pia. watu wanashida na kufanya bizness unayofulsa fanya nao kazi.
hakuna mafanikio ya siku moja tangaza bei ya kawaida kabisa, uwe tayari kwa anayetaka sample umtumie hata nusu lita au robo kwenye basi.
then mfanyabiashara au mteja akiona sample akicompare na bei atakuwa mteja wako tu.
 
Nina asali. Nahitaji kufahamu wapi kuliko na soko zuri nchini kwetu. Soko laweza kuwa ndani au nje ya nchi.

Asali ipo Manyoni.
China au ofisi ya rais. Ila lazima iwe zaidi ya lita 100
 
Una bidhaa nzuri kabisa, lakini tangazo lako ni lahovyo kabisa.
Pole kama nitakukwaza
 
Back
Top Bottom