WatesiWETU
Senior Member
- Jan 2, 2022
- 106
- 248
Dodoma bado sina mtaji wa kutosha makazi mapya yakulipia, alafu na fremu nilipie mtaji uta puputika.. maana naishi dah kwa sasa.Dodoma Vipi Upo Tayari
Asante bro.. ngoja nilifuatilie hiliswalaKama Una Mtaji Mzuri Unaweza Kufungua Kisasa Sheli Maana Ilazo Kuna Ujenzi Mwingi Wa watu Wanao Jiweza. Kama Ndogo Nje Ya Mji Kidogo Inakuwa nzuri Zaidi Kama Mkonze, Mtumba, Udom, Maeneo Ni Mengi Na Kingine Vitu Vya Ujenzi Dodoma Viko Juu Sana So iyo Faida Kwako